Wafanyakazi wasio na makazi waruhusiwa kulala kwenye magari

Wafanyakazi wasio na makazi waruhusiwa kulala kwenye magari


Jiji la Arizona, lililopo US state, limeidhinisha mpango ambao utawaruhusu wafanyikazi wasio na makazi kulala kwenye maegesho ya magari kutokana na kupanda kwa bei za kupangisha nyumba.

Programu hiyo ya kulala kwenye magari wameipa jina la 'Mahali Salama pa Kuegesha' ambapo itakuwa ni jumla ya maeneo 40 ya kuegesha magari yenye ukibwa wa ekeri 41, itakuwa kwa walioajiriwa ndani ya mipaka ya jiji tu.

Kati ya wanavyotakiwa kuzingatiwa ni magari katika maeneo hayo lazima yaondoke kwenye majengo wakati wa mchana pia wafanyakazi waliojiandikisha katika mpango huo wanatakiwa kutumia huduma za kijamii zilizopo kwenye mitaa hiyo ikiwemo choo na bafu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post