Mtindo wa kusimulia visa na matukio kupitia muziki hasa wa Rap au Hip Hip uliteka hisia za wengi kipindi cha nyuma, jumbe za kuelimisha ndizo zilichukua nafasi kwa asilimia ku...
Na Innocent Ndayanse
Alitembea harakaharaka ili kufanya dereva asione kuwa anacheleweshwa. Dakika chache baadaye alikuwa ndani ya nyumba aliyoishi.
Huko ndani alimkuta H...
Na Innocent Ndayanse
“Nimekufanyia hivyo tu kwa kuwa uko na msh’kaji wangu, Kipanga,” Masumbuko alisema. Kisha kama aliyekumbuka kitu, akamuuliza, “Kwa...
Innocent NdayanseHILDA alibaki kinywa wazi baada ya kuisikia simulizi hiyo ya kutisha. Akamtazama Panja kwa makini na kuigundua hasira iliyojikita moyoni mwake na kutoa taswir...
Na Innocent Ndayanse
“…Nilikuwa nimekutengea milioni hamsini ndani, sio za kufuata benki” yalikuwa ni maneno yaliyojirudiarudia kichwani mwake mara kwa mara...
Na Innocent Ndayanse
Sehemu ya 04
Panja akakohoa kidogo kisha akamuuliza, “Hushangai kuona mara nipo, mara sipo?”
“Hata nikishangaa itanisaidia nini? Najua k...
Sehemu o3
Daladala la Mwananyamala lilipofika Hilda alipanda, Panja naye hakubaki nyuma, akajitoma garini. Bado alikuwa ni mwanamume wa ‘kutesa.’ Alipoingia ndani ...
Na Innocent Ndayanse
SIKU Panja alipotoka gerezani, fikra zake zote zilikuwa juu ya Kipanga. Hakuchukua zaidi ya nusu saa nyumbani, Kinondoni ‘A’ jirani na Kanisa ...
Na Innocent Ndayanse(Zagallo)
NI usiku wa manane. Saa saba! Kwa wapenzi hawa wawili, bado ilikuwa mapema sana. Walikuwa hawajaambulia hata lepe la usingizi. Na zaidi, n...
SEHEMU YA KWANZA
KIGOMA MJINI, MACHI, 2005
ALIPOCHEKA, alipendeza. Tabasamu lake zuri, tabasamu linaloshawishi na kubembeleza, huwafanya watu, hususan wanawake wamsogelee na k...
Nilikutana na binti huyu mwaka 1990 wakati huo nikikaa na kaka yangu maeneo ya Mwenge. Siku hiyo nilikuwa nimetumwa maeneo ya Ubungo na nilikuwa naendesha gari la kaka y...