Umewahi kugundua kuwa zipu nyingi tunazotumia kwenye mikoba, nguo, na hata mabegi huwa zimeandikwa herufi YKK? Leo fahamu maana ya herufi hizo. YKK ni kifupisho cha maneno ya ...
Nyota wa soka wa Ureno ambaye kwa sasa anaichezea Al-Nassr ya Saudi Arabia, Christian Ronaldo (CR7), ametangaza uchumba wake rasmi na mwanamitindo maarufu Georgina Rodrí...
Mchekeshaji Hassan Kazoa ‘Mr Food’ameweka wazi ugumu anaopata katika kunakilisha sauti ‘Dubbing’ kama mlemavu.Akizungumza na Mwananchi Kazoa, ambaye an...
Achana na Nonda Shaaban Papii. Aliyekuja na kupita njia kuelekea Ulaya. Wapo kina Ben Mwalala na Bonaface Ambani. Niyonzima, Mbuyu Twite, Kiiza, Mavugo, Amis Tambwe. Kavumbagu...
Kwa sasa ni miaka zaidi ya 20 bado TID anaitumika Bongo Fleva akiwa ametoa albamu kali, ameshinda tuzo, ameanzisha bendi na tayari jina lake lipo katika orodha ya waimbaj...
Mwaka fulani aliibuka msanii wa Bongofleva anayeitwa Harmorapa. Jamaa aliiteka mitandao ya kijamii akaondoka na kijiji. Na sio kwamba alikuwa mbadi kwenye muziki, hapana. Alik...
Kupata maumivu, uchovu pamoja na njaa ni hali ya lazima kwa kila mwanadamu, lakini hili ni tofauti kwa binti aitwaye Olivia Farnsworth kutoka Uingereza ambaye anatambulika kwa...
Hivi karibuni Jux na mkewe Priscilla kutokeaNigeria wamethibitisha kuwa wanatarajia mtoto wao wa kwanza tangu wamefunga ndoa Februari mwaka huu ikiwa ni takribani miezi nane y...
Mwanamuziki na staa wa filamu, Teyana Taylor, 32, kutokea Marekani anatarajia kufanyiwa upasuaji mdogo eneo la koo lake ili kuondoa uvimbe ambao umekuwa ukimpa maumivu wakati ...
Mwanamuziki Kevin Cash ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake ‘Teketeza’ aliomshirikisha Jaivah ameweka wazi ugumu na urahisi wa kusimamiwa kazi za muziki na mzazi...
Mahakama ya Rufaa imetengua hukumu ya Mahakama Kuu iliyobatilisha ya awali iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya Ilala katika kesi ya madai ya hakimiliki iliyofunguliwa na wasanii...
Maiki aliyowahi kuirusha rapa maarufu Cardi B kwa shabiki wakati wa tamasha lililofanyika jijini Las Vegas, ambayo pia sasa ni sehemu ya ushahidi katika kesi ya madai inayomka...
Mtandao wa kuuza na kusikiliza muziki Spotify umetoa orodha ya wasanii na nyimbo zinazosikilizwa zaidi nje ya nchi katika muhula wa nusu mwaka wa 2025.Kwa mujibu wa ripoti hiy...
Muziki ukiwa kazi kama kazi nyingine umeweza kuwa na nguvu ya kubadilisha maisha ya watu. Sio tu wasanii bali hata watu ambao hupata fursa ya kucheza nafasi mbalimbali kwenye ...