22
Aliyepandikizwa chipu kwenye ubongo aanza kutumia kompyuta
Ukuaji wa teknolojia unazidi kushangaza wengi ambapo kwa sasa binadamu amefanikiwa kupandikizwa chipu kwenye ubongo kwa ajili ya kutumia kompyuta kwa kuwaza tu. Ni siku chache...
21
Kazi ya neti kwenye ujenzi wa ghorofa
Watu wengi wamekuwa wakiona neti ambazo huwekwa wakati wa ujenzi wa maghorofa, bila ya kufahamu umuhimu wake huku baadhi yao wakidhani huwekwa kama urembo wakati wa ujenzi wa ...
21
Apple yawaonya wanaokausha simu kwa kutumia mchele
Baadhi ya watu wamekuwa wakiamini kuwa simu ikiingia katika maji ili ikauke na iwe salama inatakiwa kulala usiku mzima katika mchele lakini kampuni ya simu Apple imetoa taarif...
20
Mgahawa unaoendeshwa na roboti wafunguliwa
Imeripotiwa kuwa mgahawa wa kwanza duniani unaoendeshwa na roboti umefunguliwa jijini California nchini Marekani ambapo ‘roboti’ hufanya kazi ya kutaarisha baga, k...
20
Abadili ndege kuwa hoteli ya kifahari
Mfanyabiashara maarufu kutoka nchini Urusi ambaye kwasasa anaishi China, Felix Demin (32) ameripotiwa kubadirisha ndege iliyostaafu kufanya shuguli zake za kusafirisha abiria ...
19
Asake apiga mkwanja mrefu Dubai
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Asake, anadaiwa kulipwa Euro 500K ambazo ni zaidi ya tsh 1.37 bilioni kwa ajili ya kutumbuiza kwenye onesho la la muziki ‘Untold&rsquo...
15
Bobak azindua miwani inayotambua bei ya bidhaa
Aliyekuwa kiongozi wa kampuni ya #Apple, Bobak Tavangar, ambaye kwasasa ni CEO wa Brilliant Labs amezindua miwani inayoweza kutafsiri lugha, kutambua unachokitazama na kukuwez...
10
Apple yafikisha bidhaa 2.2 bilioni zinavyotumika duniani
Katika taarifa yake na vyombo vya habari Mkurugenzi Mtendani kampuni ya Apple, Tim Cook ameeleza kuwa mpaka kufikia Januari walipozingua ‘Vision Pro’ kampuni hiyo ...
08
Wanaotumia Vision Pro wakati wa kuendesha gari watakiwa kuwa makini
Baada ya kusambaa kwa video ikiwaonesha baadhi ya madereva wa #Tesla wakitumia kifaa cha ‘Vision Pro’ wakati wakiendes...
07
Fanya hivi kupata simu yako iliyopotea
Imekuwa kawaida baadhi ya watu, kusahau sehemu ambayo wameacha simu zao. Jambo hili huumiza kichwa zaidi ikiwa simu imewekwa ‘silent’,  kwani hata mmiliki aki...
06
Nissan yatengeneza kiti kinachosogea kwa kupigiwa makofi
Kampuni ya Nissan imetengeneza viti maalum vya kutumika kwenye ofisi zao, ambavyo vinafanya kazi kwa uwezo wa teknolojia. Viti hivyo vinauwezo wa kijipanga na kujisogeza pembe...
01
Hizi hapa Teknolojia zitakazobamba 2024
Dar es Salaam. Umewahi kuwaza kwamba ukuaji wa kasi wa teknolojia unaoshuhudiwa dunia ya leo, unazidi kugusa maisha yetu kadri siku zinavyokwenda? Inaelezwa lengo la kukua kwa...
30
Kampuni ya Musk imeanza kupandikiza chipu kwenye ubongo
Na Sute Kamwelwe  Wakati teknolojia ikizidi kukua siku hadi siku kampuni ya tajiri nambari mbili duniani Elon Musk iitwayo Neuralink imesema imefanikiwa kupandikiza kifaa...
29
Sasa Iphone kama Android
Baada ya watumiaji wa simu za Iphone kushindwa kupakuwa (download) application mbalimbali nje ya App Store, hatimaye kampuni ya simu hizo imefanya mabadiliko. Kampuni ya Apple...

Latest Post