Baada ya miezi tisa baharini, meli kubwa zaidi duniani iitwayo ‘Royal Caribbean’s Icon of the Seas’ imemaliza safari yake huku ikitarajiwa kurejea Miami siku...
Kila ifikapo tarehe ya leo Agosti 1, ulimwengu unaadhimisha siku ya ‘Girlfriends Day’ siku ambayo wasichana wanaopendana wanaitumia kukaa pamoja, kucheka na kushir...
Na Glorian sulle
Sidhani kama kuna mtu atakuwa hafahamu maana halisi ya kazi/ajira. Kwa tafsiri rahisi hii ni shughuli ambayo mtu hufanya kwa kubadilishana na malipo ya kifedh...
Ikiwa zimebaki siku chache kuanza kwa michuano ya Olimpiki nchini Ufaransa, uamuzi wa nchi hiyo kuzuia wanawake kuvaa hijabu katika michuano umezua mijadala na upinzani kutoka...
Binti wa mtawala wa Dubai, Sheikha Mahra Bint Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, amempa talaka mumewe Sheikh Mana bin Mohammed bin Rashid bin Mana Al Maktoum kupitia mtandao wa I...
Na Glorian Sulle
Ndoa ni tukio la kisheria au kijamii na kihisia ambalo linaunganisha watu wawili au zaidi kwa madhumuni ya kuishi maisha ya pamoja. Kwa kawaida ndoa inajumuis...
Inaripotiwa kuwa ngozi ya kuku inakiwango kikubwa cha mafuta ambayo ni hatari kwa afya ya binaadamu.
Kwa mujibu wa tovuti mbalimbali duniani zinaeleza kuwa ngozi ya kuku ina m...
Kulingana na uchunguzi wa kitaifa uliyofanywa na ‘Advanced Dermatology’ kutoka Illinois, Marekani umebaini kuwa idadi ya wanaochukia tattoo walizochora yaongezeka....
Mtangazaji nchi Marekani aitwaye Vanessa Welch anayefanya kazi katika kituo cha runinga cha Boston25 amezua gumzo na kuwashangaza wengi kupitia mitandao ya kijamii baada ya ku...
Sokwe maarufu wa marehemu mkali wa Pop Michael Jackson, aitwaye Bubbles ameripotiwa kufikisha miaka 40 ambapo kwasasa anatunzwa katika kituo cha kulea wanyama cha Apes Wauchul...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Jonathan Caulkins kutoka Chuo Kikuu cha Carnegie Mellon, umebaini kuwa matuminzi ya bangi yameongezeka nchini Marekani yakipiku matuminzi ...
Unyoya mmoja wa ndege aina ya Huia kutoka New Zealand umeripotiwa kuuzwa kwa dola 28,417 ikiwa ni zaidi ya Sh 73 milioni katika mnada wa Webb.Kwa mujibu wa tovuti ya #Cnn imee...