Inadaiwa takribani watu 100 wamefariki na wengine zaidi ya 150 kujeruhiwa baada ya moto mkubwa kutokea ukumbini wakati wa sherehe ya harusi katika Wilaya ya Al-Hamdaniya nchin...
Zoleka Mandela, ambaye ni mjukuu wa Rais wa kwanza mzalendo nchini Afrika Kusini, Nelson Mandela, amefariki dunia kwa saratani akiwa na umri wa miaka 43, familia yake i...
Kundi la kondoo nchini Ugiriki kwenye mji wa Almyros limevamia nyumba ya kuhifadhia mimea na kula bangi zilizokuwa zimehifadhiwa kwa ajili ya matibabu.
Inadaiwa kuwa kon...
Wafanyikazi wawili wa Mamlaka ya Usalama wa Uchukuzi (TSA) wamefumwa wakiiba pesa na vitu vingine kutoka kwenye mifuko ya abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Miami F...
Mwanaume mmoja kutoka Madrid anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumdhalilisha mwandishi wa habari wa kike kwa kumshika makalio na kumfanyia ghasia eneo la kazi.
&nb...
Mfungwa wa gereza la Pennsylvania, Danelo Cavalcante mwenye umri wa miaka 34 aliyetoroka gerezani siku chache zilizopita, amekamatwa baada ya msako mkali.
Mfungwa huyo aliwekw...
Mwanamke mmoja adaiwa kufariki dunia na watu wengine 12 wamelazwa kwa matibabu baada ya kula dagaa wenye sumu katika Mgahawa mmoja huko nchini Ufaransa eneo la Bordeaux.
Aidha...
Mlinzi wa shule ya Thomas R. Proctor, iliyopo New York apigwa risasi kichogoni wakati akizuia ugomvi, katika eneo la kuegesha magari lililopo karibu na uwanja wa mpira wa shul...
Waziri Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ametoa onyo watoto kutoruhusiwi kucheza ‘show’ kwenye masherehe hasa nyak...
Akizungumza katika kongamano la kukuza uelewa kuhusu athari za unywaji pombe kwa wajawazito nchini Afrika Kusini, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Hendrietta Bogopane-Zulu ...
Mtoto wa miaka nane kutoka Alabama nchini Marekani amekamatwa na Polisi baada ya kuiba gari kwa kutumia bunduki na kuanza kukimbizana na Polisi.
Kwa mujibu wa chombo cha habar...
Mchungaji kutoka Nigeria na mwanzilishi wa #ShekinahArenaGospel Ministry International, #Agochukwu, amempa mwanamke mjane sadaka zote za waumini kama zawadi.
Mtumishi huyo ame...