Na Michael Anderson Matamshi ya chuki yanaweza kuwa maneno au vitendo vinavyoonyesha hisia za uadui, dhihaka, au kutokuwajali wengine...
Tattoo ni moja ya urembo ambao hufanywa na watu wa jinsia zote yaani wanawake kwa wanaume. Lakini tattoo si tu urembo kwenye mwili, ba...
Moja ya chakula rahisi kukiandaa ni Makaroni huku kikiwavutia wengi hasa watu wanaokaa wenyewe (Bachela). Licha ya chakula hicho kupen...
Wimbo ‘My Darling’ wa msanii kutoka Nigeria, Chellaboi umeshika nafasi ya kwanza katika mtandao wa ‘Shazam’ na...
Mtayarishaji na mwongozaji wa filamu nchini Marekani, Ryan Coogler ambaye alipata umaarufu kupitia filamu ya ‘Wakanda Forever&rs...
Mahakama ya Juu ya Wilaya ya Shirikisho iliyopo Wuse Zone 2, Abuja imemuhukumu kunyongwa hadi kufa, Peter Nwachukwu, ambaye alikuwa mu...
Peter Akaro Mama mzazi wa mwanamuziki Beyonce, Tina amefunguka jinsi ndoa yake na aliyekuwa mume wake, Mathew Knowles ilivyokuwa...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Zuchu ameweka wazi kuwa atapanda jukwaani na msnii wa singeli, Dogo Paten kwenye ‘Samia Sereng...
Msanii maarufu kutoka Uingereza, Ed Sheeran amefichua kuwa aliwahi kupoteza uwezo wa kuona kwa muda baada ya kuvuta bangi akiwa na rap...
Msanii wa muziki wa Hiphop nchini, Darassa usiku wa kuamkia leo Aprili 26, 2025. amefanya uzinduzi wa ziara ya album yake ya 'Tak...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amesema muda mrefu aliishi kwa hofu na mashaka juu ya watu aliokuwa akiingia nao kwenye mahusian...
Dar es Salaam. Jamii yahimizwa kuwashika mkono vijana wenye vipaji mbalimbali ili waweze kufikia malengo yao.Hayo yameelezwa na Makamu...
Baada ya kuwepo na tetesi kuhusiana na hali ya ndoa ya Justin Bieber na Hailey Bieber kuwa haiko vizuri huku baadhi ya ripoti zikidai ...
Mwanamuziki kutoka nchini Uganda, Jose Chameleone anatarajia kufanya show kwa mara ya kwanza baada ya kutoka kwenye matibabu nchini Ma...
Mama mzazi wa mwanamuziki Beyoncé, Tina Knowles ameeleza jinsi alivyo na wasiwasi juu ya changamoto ambazo wajukuu wake wanakum...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua mfumo wa Usimamizi na Uendeshaji Kazi za Sanaa unaojulikana TAUSI wa OR-TAMISEMI na AMIS wa BASA...
Peter AkaroTofauti na Tanzania, rekodi lebo nyingi za wasanii hasa nje ya bara la Afrika, zimekuwa na utamaduni wa kuingia makubaliano...
Na Michael Anderson Adui mkubwa wa maisha ya mtu ni woga. Na woga husababishwa na hofu, ambayo ni kiashilia cha kukutaka uwemak...
Maeneo mengi kwa sasa yanakubwa na mvua. Hivyo ukiwa mdau wa fasheni siyo vizuri kutoka kishamba hata kama mvua inanyesha. Zingatia mi...
Wakati waumini wa dini ya Kiislamu wakiwa wamemaliza mfungo na kula Eid, waumini wa Kikristo bado wanaendelea na mfungo. Hivyo t...