Harmonize amtakia hari Rayvanny

Harmonize amtakia hari Rayvanny

wakati mwanamuziki Rayvanny akiendelea kutimua vumbi nchini Congo na kukonga nyoyo za mashabiki wake nchini humo msanii Harmonize ameibuka na mkutakia kila la heri mwanamuziki huyo katika show zake anazoendelea kuzifanya nchini humo.

Katika ukurasa wake Harmonize ameandika ujumbe wa kumtakia maisha marefu Rayvanny na kumtakia kila heri kwenye usiku kwake show ambayo ataifa Goma nchini Congo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags