Peter AkaroMgogoro wa hivi karibuni kati ya Diamond Platnumz na Willy Paul wa Kenya uliotokea katika tamasha la Furaha City nchini humo, ni matokeo ya mlundikano wa mambo meng...
Baada ya mwanamuziki kutoka Kenya na mzazi mwenzie na msanii Diamond, Tanasha Donna kukoment utani kwenye moja ya video ya Harmonize, hatimaye Konde amefunguka ukaribu wake na...
Zikiwa zimebaki wiki kadhaa kuupindua mwaka 2024 na kuingia 2025, mtandao wa kuuza na kusikiliza muziki wa Spotify umeshusha orodha ya wasanii wanaosikilizwa zaidi kutoka Tanz...
Baada ya kuwepo na maneno katika mitandao ya kijamii kuhusiana na mwanamuziki Harmonize kuhusishwa kutoka kimapenzi na mfanyabiashara Malaika hatimaye msanii huyo ametoa ya mo...
Wanamuziki maarufu wa Bongo Fleva ambao wanaushindani mkubwa katika tasnia ya muziki Diamond, Alikiba na Harmonize wanatarajiwa kuonana uso kwa uso katika sherehe ya ‘Li...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Harmonize amerusha dongo kwa msanii mwenzake Diamond baada ya kushindwa kuchaguliwa kuwania tuzo za muziki Marekani Grammy kwa kudai kuwa huw...
Baada ya kusubiliwa kwa hamu orodha ya ngoma zilizopo kwenye albumu ya mwanamuziki Marioo, hatimaye orodha hiyo imeachiwa rasmi huku mwanamuziki wa Nigeria Patoranking akiwa n...
Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize amepiga marufuku wimbo wake wa ‘Yanga Bingwa’ kupigwa na kuchezwa sehemu yoyote mpaka pale atakapo toa taarifa.Harmonize ametoa ta...
Baadhi ya wanamuziki wa Bongo Fleva nchini wametajwa kuongoza orodha ya wasanii wanaotazamwa zaidi kupitia mtandao wa Youtube nchini Kenya.Kupitia blogu ya ‘Nairobi Goss...
Baada ya mwanamuziki Marioo kutua nchini Kenya na kupokelewa kwa shangwe, ameingia studio na msanii Bien.Kupitia ukurasa wa Instagram wa Marioo amechapisha picha akiwa na msan...
Sio ajabu kuona Ma-DJ nchini nao wanakuwa maarufu kama ilivyo kwa wasanii wa Bongofleva.Wamekuwa wakiandaa shoo zao wenyewe, kushinda tuzo za kimataifa, kuwa na idadi kubwa wa...
Ikiwa jana Septemba 3, 2024 dirisha la kuwapigia kura wasanii watakaowania Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) lilifunguliwa, hivi ndivyo vipengele 17 vinavyoshindaniwa ambavyo vime...
Chukua huku weka pale, chukua kule lipa hapa. Cha msingi wakopwaji wasijuane. Yes! Konde anadaiwa na benki kiasi cha kupelekana kwa pilato. Zaidi ya milioni mia, ni sehemu ya ...