Moja ya wimbo unaotamba katika mitandao ya kijamii ikiwemo Tiktok na Instagram ni wa rapa kutoka Marekani Nicki Minaj ‘High School’ wimbo ambao amemshirikisha Lil ...
Hali ya mwigizaji kutoka Ujerumani, Bruce Willis imeendelea kuwa mbaya, sasa ameripotiwa kupoteza kumbukumbu.Willis, alibainika kuwa na maradhi ya Frontotemporal Dementia (FTD...
Mwaka 1963 dunia iliipokea filamu kubwa ya Cleopatra ambayo iliwavuruga wengi kutokana na urembo wa muhusika mkuu Elizabeth Taylor.Licha ya kupokelewa na watu wengi kampuni ya...
Baadhi ya waimbaji wa Bongofleva wanasifika kwa utunzi wa nyimbo nzuri za mapenzi ila Mbosso amefanikisha katika tungo zake za namna hiyo kutokana na kuimba vitu tunavyoviishi...
Peter Akaro Mashabiki wanawaona kama wanamuziki waliopendana kisha wakafanya muziki, lakini kuna watu wanawatazama kama Baba na Mama wameamua kufanya muziki pamoja.Hilo ni mar...
Siku kadhaa zilizopita ilizuka sintofahamu kwenye mitandao ya kijamii baada ya Andy Byron, ambaye ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya teknolojia ya Astronomer Inc. ya nchini ...
Msanii wa muziki wa Hip hop nchini, Msamiart ameweka wazi sababu inayofanya atumie majina ya waasisi wa taifa la Tanzania kwenye nyimbo zake.Akizungumza na Mwananchi, Msamiart...
Kwa sasa Rayvanny ni miongoni mwa wasanii waliofanikiwa sana katika Bongofleva akiwa ametoa albamu moja, EP nne na kushinda tuzo za ndani na kimataifa kitu kinachompa heshima ...
Baada ya kusambaa kwa picha na video mbalimbali zikimwonyesha msanii wa Bongo Fleva, Ibraah akiwa Burudi alikokwenda kwa ajili ya kazi zake za sanaa na kuonana na familia ya m...
Peter Akaro
Umetia mwezi mmoja tangu Mbosso, staa wa Bongofleva kutokea Khan Music kuachia Extended Playlist (EP) yake ya pili, Room Number 3 (2025) ambayo imebeba wimbo '...
Peter Akaro
Jumatano hii mastaa wa Bongo Fleva, Billnass (32) na Nandy (33), waliadhimisha miaka mitatu tangu wamefunga ndoa na kufanya harusi ya aina yake ambayo iliteka mazu...
Mwigizaji na msanii maarufu kutoka Marekani, Jaden Smith, ameendelea kuonyesha dhamira yake ya kusaidia jamii ambapo ameripotiwa kufungua mgahawa kwa ajili ya kutoa chakula bu...
Densa na video vixen maarufu nchini, Queen Fraison 'Bonge la Dada' amefunguka kupokea jumbe mbalimbali kutoka kwa mashabiki zikidai amepotea kwenye gemu ndani ya mud...
Msanii wa Hip Hop Marekani, Megan Thee Stallion (30) na mpenzi wake mpya, Klay Thompson (35) ambaye ni mchezaji wa kikapu katika timu ya Dallas Mavericks, wameonekana kwa mara...