Mwanafunzi wa miaka 12, Yahshua Robinson anadaiwa kufariki dunia baada ya mwalimu wa mazoezi kumlazimisha mtoto huyo kufanya mazoezi ya kukimbia katika kipindi cha joto kali.
...
Utafiti uliofanyika nchini Brazili umegundua kuwa kucheka kunasaidia katika matibabu ya ugonjwa wa moyo kwa asilimia 10.
Utafiti huo uliofanywa na Hospitali ya Clinicas de Por...
Ikiwa tumezoea kuona maonyo mbalimbali kwenye chupa za pombe kama vile kunywa kistarabu, au yale ya kwenye sigara yasemayo uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako, bila kuta...
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na U.S. National Institute of Environmental Health Sciences (NIEHS) unaeleza kuwa asilimia 10 ya wanaume wanasumbuliwa na changamoto ya uzito ...
Mko pouwa eeeh! Basi bwana watu siku hizi wamekuwa wakijisaulisha sana umri wao nikikimbushe tuu kama uko na 39 kwenda juu hii inakuhusu kabisa, leo katika afya tunaangazia ma...
Hivi karibuni kumekuwa na msongamano wa wagonjwa katika vituo vya Afya hali inayo pelekea baadhi ya wagonjwa kukosa huduma kwa sababau ya semina za wauguzi.
Waziri wa Afya, Um...
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imeshauri jamii kupenda kufanya mazoezi, kupunguza kula vyakula vya sukari, wanga na kusisitiza kwa wanywaji wa bia, kunywa angalau t...
Na Elizabeth Malaba
Ooooiiih! Niaje niaje watu wangu wa nguvu, kama kawaida afya ndo jambo la muhimu katika maisha haya, sasa tunaendelea pale tulipo ishia katika suala zima l...
Na Elizabeth Malaba
Saratani ya koo ni miongoni mwa magonjwa hatarishi na unaoshika kasi kuathiri watu na hata kusababisha kifo. Ingawa baadhi ya wagonjwa wa saratani ya koo w...
Na Elizabeth Malaba
Shinikizo la juu la damu ni moja ya magonjwa yasiyo ya kuambukiza lakini mtu anaweza kupata kwa kurithi( genetic hereditary) yawezekana katika ...
Watafiti kutoka chuo Kikuu cha London wanaeleza kuwa kupata muda wa kulala kidogo mara kwa mara ni vizuri kwa ubongo wetu na husaidia kuuweka ubongo kuwa mkubwa kwa muda mrefu...
Na Elizabeth Malaba
Hello!! Mambo niaje my people, I hope mko poa kama kawaida hatunaga shaka inapofikia swala la kukupa nondoo za Afya, kama kawaida tupo hapa kujuzana kuhusi...