Mwanamuziki Diamond Platnumz amechaguliwa na Shirikisho la Mpira Afrika CAF kuwa msanii kinara atakaye tumbuiza kwenye shereshehe za ugawaji wa tuzo za CAF 2024 zitakazofanyik...
Mwanamuziki Chin Bees amemshutumu msanii mwenzake wa Bongo Fleva Rayvanny kuwa ameiba idea ya wimbo wa ‘Nesa Nesa’ wimbo ambao amemshirikisha Diaomnd na Khalil Har...
Na Peter Akaro
Miaka ya hivi karibu imekuwa siyo jambo geni kusikia nyimbo mpya za Bongofleva zikiwa na vionjo vya nyimbo za kitambo, hilo limekuwa likitoa nafasi kwa nyimbo h...
Baadhi ya wanamuziki wa Bongo Fleva nchini wametajwa kuongoza orodha ya wasanii wanaotazamwa zaidi kupitia mtandao wa Youtube nchini Kenya.Kupitia blogu ya ‘Nairobi Goss...
Baada ya Kamati ya Uandaaji wa Tuzo za Muziki nchini (TMA) kutangaza baadhi ya vipengele na majina ya wasanii wanaowania tuzo hizo, mwanamuziki Rayvanny ametaka kuondolewa kat...
Rapa kutoka nchini Marekani Dream Doll ametumbuiza wimbo wa mwanamuziki wa Bongo Fleva Rayvanny uitwao ‘Shake shake’ nchini Uingereza alipokuwa katika zira yake.
K...
Wanamuziki wa Bongo Fleva Nchini Rayvanny na Billnass wametuma salamu za pole na kuwaombea wananchi wa Kenya ambao wamejeruhiwa na wengine kuuwawa katika maandamano ya kupinga...
Usiku wa kuamkia leo Juni 28, mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Rayvanny alifanya show katika uwanja wa mpira wa ‘Air Albania Stadium’ na kupokelewa kwa shangwe na...
Nyota wa muziki nchini, Harmonize na Rayvanny,wametangaza ujio wa ngoma yao mpya ikiwa ni ngoma inayosubiriwa kwa hamu.
Tangazo hilo la ujio wa ngoma hiyo ya pamoja limezua gu...
Mwonekano ni kati ya vitu vinavyoweza kumpa msanii utambulisho wake ingawa wapo baadhi ya watu wamekuwa wakijiuliza kama kuna ulazima wa msanii kuvaa nguo za ajabu, mabwanga, ...
Mwanamuziki wa Bongo Flava nchini, Diamond Platnumz, ameendelea kuonesha ukubwa wake baada ya kufikisha zaidi ya streams milioni 400 kwenye mtandao wa kuskiliza mziki wa &lsqu...
Mwanamuziki wa #BongoFleva, #Rayvanny maarufu Chui amejiita Michael Jackson wa Afrika Mashariki baada ya mapokezi makubwa aliyoyapata alivyotua nchini Burundi kwa ajili ya kuf...
Mwanamuziki Rayvanny tayari amewasili nchini kutoka Kenya ambapo alienda kwenye hafla ya utolewaji tuzo za East Africa Arts Entertainment Awards 2024 (EAEA) ambapo ameondoka n...