27
Babu Seya: Chama akija Yanga moto utawaka
Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Nguza Viking 'Babu Seya' amefurahishwa na tetesi za usajili kwamba huenda kiungo wa Simba, Clatous Chama akajiunga na ‘tim...
11
Aliyesoma taarifa ya habari na mtoto mgongoni apongezwa
Mwanamke mmoja kutoka nchini Congo aitwaye Kapinga Kisamba Clarisse ambaye pia ni mtangazaji wa runinga kwenye moja ya chombo cha habari nchini humo amepongezwa na wadau mbali...
08
Mashabiki wa Nigeria wafanya utani waimba Water ya Tyla
Baada ya ‘timu’ ya taifa ya Nigeria kuifunga Afrika Kusini na kutinga katika Fainali za #AFCON mashabiki wa ‘Super Eagles’ wameonesha utani wao kwa kui...
24
Stars yaahidiwa bilioni 1.3 wakiipiga Congo
Wachezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya #TaifaStars na ‘benchi’ la ufundi wameahidiwa tsh 1.3 bilioni endapo itafuzu hatua 16 bora ya fainali za michuano ya Ko...
23
Utani wa Diamond, Innossb kuhusu timu za taifa
Ikiwa yamebaki masaa machache kuelekea mchezo wa mwisho wa kundi F kupitia michuano ya #Afcon unaotarajiwa kuchezwa kesho kati ya Congo dhidi ya Tanzania wanamuziki Diamond na...
21
Kivumbi leo Stars kukipiga na Zambia
Baada ya kuanza vibaya ‘mechi’ ya kwanza ya kundi F ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) kwa kufungwa mabao 3-0 na Morocco, ‘timu’ ya taifa...
07
Mwakinyo abadilishiwa mpinzani, Kuzichapa na Mcongo
Bondia Hassan Mwakinyo Januari 27 atapambana ulingoni kuwania ubingwa wa WBO Afrika ambapo atapambana na bondia tofauti na yule aliyetangazwa awali Erick Msambudzi kutoka Zimb...
29
Christian Bella afunguka alivyokata tamaa, Kurudi Congo
Mwanamuziki #ChristianBella amesema kuna wakati alitaka kukata tamaa na kutaka kurejea nchini Congo baada ya mambo yake kuwa magumu Tanzania. Msanii huyu ameeleza kuwa mwanzon...
23
Simba yafanya jaribio la kumng’oa Maxi Yanga
‘Klabu’ ya Simba wamefanya jaribio zito la kutaka kumng’oa juu kwa juu kiungo wa Yanga Mkongomani, Maxi Nzengeli ambaye alipiga mabao mawili dhidi ya Simba k...
27
Harmonize amtakia hari Rayvanny
wakati mwanamuziki Rayvanny akiendelea kutimua vumbi nchini Congo na kukonga nyoyo za mashabiki wake nchini humo msanii Harmonize ameibuka na mkutakia kila la heri mwanamuziki...
26
Ninja atimkia Congo
Aliyekuwa ‘beki’ wa ‘klabu’ ya Yanga Abdallah SHaibu 'Ninja' awasili nchini Congo inadaiwa mchezaji huyo ‘amsaini’ mkataba wa mwaka mmoja k...
21
Rayvanny ashindwa kutumbuiza Congo
Mwanamuziki wa #BongoFleva #Rayvanny amehuzunishwa  na kutoimba kwenye show Goma nchini Congo baada ya Promoters kutomfata msanii huyo kutoka hotelini hali ambayo ilizua ...
17
Rayvanny atimua vumbi Congo
Mwanamuziki kutoka nchini Rayvanny bado ameendelea kuonesha kuwa yeye ndiye mwanamuziki anayependwa zaidi na mashabiki, kwa kuonyesha baadhi ya mapokezi yake sehemu mbalimbali...
19
Inonga azua gumzo baada ya kutetema kama Mayele
Hahahahaha! Make hapa kwanza ncheke, kama inavyo julikana wawili hawa Mayele na Inonga wakiwa katika ardhi ya Tanzania wanakuwa mahasimu, kufuatiwa na klabu zao wanazo zicheze...

Latest Post