Travis Scott Awazawadia Lamborghini Wasanii 12

Travis Scott Awazawadia Lamborghini Wasanii 12

Wakati akielekea kuachia albamu yake mpya ya ‘Jack Boys 2’ rapa kutoka Marekani, Travis Scott amewazawadia gari aina ya Lamborghini wasanii wote aliyowashirikisha kwenye albamu hiyo.

Gari hizo ambazo kila moja inathamani ya dola 304,000 sawa na sh788,120,000 milioni zimetolewa kwa wasanii zaidi ya kumi ambao ni Sheck Wes, Don Toliver, SoFaygo, Wallie the Sensei, 21 Savage, Vybz Kartel, SahBabii, Waka Flocka Flame, GloRilla, Kodak Black, and Tyla.



Travis ametumia zaidi ya dola 3 milioni sawa na zaidi ya sh8 bilioni kukamilisha manunuzi ya zawadi hizo za magari kwa wasanii aliyowashirikisha katika Jack Boys 2.

Traarifa hiyo imepokelewa kwa furaha kutoka kwa mashabiki wa muziki duniani wakimsifu Travis kuwa na moyo wa kipekee.

Albamu hiyo ambayo imeandaliwa chini ya ‘Cactus Jack Records’ kwa kushirikiana na ‘Epic Records’ inatarajiwa kutoka hivi karibuni na tayari unaweza kupre-order ilikuwa wa kwanza kuipata pindi itokapo achiwa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Masoud Kofii


Latest Post

Latest Tags