Usiku wa kuamkia leo zimegawiwa Tuzo za Iheart Radio Music Award, zilizofanyika katika ukumbi wa Dolby Theatre, Los Angeles Marekani zikiongozwa na mshereheshaji LL Cool J. Hu...
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria Burna Boy anatarajia kutoana jasho na ma-rapa wakubwa kutoka Marekani katika tuzo za BET Hip Hop za mwaka 2024.Kupitia tuzo hizo zinazotarajia...