Mwandishi wa habari auawa kwa bomu

Mwandishi wa habari auawa kwa bomu

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Somali TV na muandishi wa habari Abdifatah Moalim Nur "Qeys", amefariki kwa shambulio la bomu alipokuwa kwenye mgahawa wa Blue Sky jijini Mogadishu ulio karibu na Ikulu ya Rais.

Kundi la wanamgambo la Al-Shabaab, ambalo ni tawi la Al-Qaida, lilidai kuhusika na shambulio hilo lililogharimu maisha ya Qeys na kuwajeruhi wengine wanne.

Hata hivo Shirika la Uangalizi wa Vyombo vya Habari nchini humo linaeleza kuwa ni mwandishi huyo ni wa kwanza kuuawa kwa mwaka huu.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags