Peter Akaro
Jumatano hii mastaa wa Bongo Fleva, Billnass (32) na Nandy (33), waliadhimisha miaka mitatu tangu wamefunga ndoa na kufanya harusi ya aina yake ambayo iliteka mazu...
Mwigizaji na msanii maarufu kutoka Marekani, Jaden Smith, ameendelea kuonyesha dhamira yake ya kusaidia jamii ambapo ameripotiwa kufungua mgahawa kwa ajili ya kutoa chakula bu...
Densa na video vixen maarufu nchini, Queen Fraison 'Bonge la Dada' amefunguka kupokea jumbe mbalimbali kutoka kwa mashabiki zikidai amepotea kwenye gemu ndani ya mud...
Msanii wa Hip Hop Marekani, Megan Thee Stallion (30) na mpenzi wake mpya, Klay Thompson (35) ambaye ni mchezaji wa kikapu katika timu ya Dallas Mavericks, wameonekana kwa mara...
Baada ya kuwepo kwa tetesi katika mitandao ya kijamii zikidai kuwa mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Ibrah amefunga ndoa na msichana kutoka Burundi, hatimae msanii huyo amethi...
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewazuia rasmi watangazaji wanne wa kipindi cha redio cha Genge la Gen Tok katika Kituo cha Mjini FM kilichopo jijini Dar ...
Mwanamuziki mkongwe kutoka Marekani, ambaye kwasasa anatamba na wimbo wa ‘Pretty Little Baby’ katika mtandao wa Tiktok, Connie Francis amefariki dunia Julai 17,202...
Rayyan Arkan Dikha, mtoto mwenye umri wa miaka 11 kutoka Indonesia, kwa sasa amekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii duniani kote baada ya video yake akiwa nadansi ikiwakosha...
Kama utani vile, imetimia miaka 10 tangu aliyekuwa mwanamuziki wa dansi, Ramadhan Masanja ‘Jenerali Banza Stone’ kufariki dunia.Leo Julai 17, 2025 ni siku ya ...
Mwanamuziki Nandy ameweka wazi changamoto anazokumbuna nazo kwenye ndoa akieleza kuwa ni mumewe kuchanganya muda wa familia na marafiki.
“Ilikuwa changamoto kubwa ...
Mwanamuziki kutoka Canada, The Weeknd ameendelea kuonesha ukubwa wake kwenye muziki ambapo ametangazwa kuwa msanii maarufu zaidi Canada akiwapiku mastaa wakongwe wenye ushawis...
Leo Julai 17 dunia inaadhimisha Siku ya Emoji Duniani, siku inayotumika kusherehekea na kutambua mchango wa emoji katika mawasiliano kwenye majukwaa mbalimbali.Siku ya Emoji D...
Kwa miaka zaidi ya 20 Madee amekuwa maarufu katika Bongo Fleva kutokana na muziki wake pamoja wasanii wenzake alioshirikiana nao katika kundi la Tip Top Connection lililoundwa...