NEMC kurudi tena mtaani kufanya ukaguzi

NEMC kurudi tena mtaani kufanya ukaguzi

Baada ya kufungia Kumbi (bar) kadhaa za burudani Nchini kutokana na uchafuzi wa mazingira kwa njia ya kelele, Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linatarajiwa kufanya ukaguzi wa utekelezaji wa Sheria ya usimamizi wa mazingira ya mwaka 2004 na kanuni zake

Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Mhandisi Dkt. Samuel Gwamaka Mafwenga, amesema zoezi hilo linatarajiwa kuanza Mei 28, 2023 na litahusisha uhakiki wa vyeti vya tathmini ya athari kwa mazingira (TAM) pamoja na uzingatiaji wa masharti na ulipaji wa ada na Tozo.

Duh! Haya mdau wetu wa Mwananchi Scoop dondosha komenti yako hapo chini, je ni jambo gani jingine linalo wakera mitaani liweze kuzuiliwa?.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post