Msanii mkongwe wa Taarab nchini Tanzania, Mwanahawa Ally, ameamua kuacha kuimba kutokana na maradhi yanayomsumbua.Hayo yamebainishwa na Zamaradi Mketema wakati akizungum...
Kiwanda cha Bongo Fleva nchini kimeendelea kubadilika kila kukicha zile zama za kufanya video za nyimbo zao kwa (Madiba) Afrika Kusini hazipo tena. Kwa sasa wengi wamejikita k...
Baada ya kudai kuwa anampango wa kufanya ‘kolabo’ na wasanii wa wakubwa Barani Africa ‘Rapa’ kutoka Marekani #RickRoss ameendelea kuonesha upendo wake ...
Ikiwa imepita siku moja tuu tangu mbunifu wa mavazi Beatrice Mwalingo, kujibuwa ‘komenti’ na Rais Samia Suluhu Hassan, sasa ni zamu ya Mtangazaji Salama Jabir, amb...
Unaweza kusema ni asubuhi ya kheri kwa Beatrice Mwalingo (28) fundi nguo ambaye amepewa ahadi ya kununuliwa cherehani na Rais Samia Suluhu Hassan.Hiyo ni baada ya dada huyo am...
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa ndege itakayotumika kuwasafirisha wachezaji wa ‘timu’ ya Taifa (Taifa Stars) kwenda Nchini Morocco ambapo watacheza na ‘timu&...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuivunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliyokuwa ikiongozwa na Mwenyekiti wa...
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya bendera ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kama kumbukumbu kutoka kwa Rais wa Shirikisho hilo Dk Patrice Motsepe Ikulu Chamw...
Ikiwa imebaki siku moja kwa ‘klabu’ ya Simba kuingia dimbani kukipiga na Al Ahly katika michuano ya AFL, Rais Samia ameendeleza pale alipoishia ambapo ameweka wazi...
Baadhi ya ‘mastaa’ wa kike wajitokeza kumpongeza aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Korogwe Jokate Mwegelo baada ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake (UWT), am...
Wakati wanajangwani wakitarajia kuachia Documentary yao, wanamsimbazi wao wanajiandaa kusherehekea kilele cha siku ya wanasimba inayotarajiwa kufanyika Agosti 6.Kupitia ukuras...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameipongeza Yanga kwa kutinga fainali ya CAFCC na kutangaza rasmi kuongeza dau la motisha ambapo sasa kila goli itakuwa ni shilingi m...
Rais wa Jmuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo April, 26 ametoa msamaha kwa wafungwa 376 ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanzan...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amempongeza mwanariadha kutoka Tanzania, Gabriel Gerald Geay kwa kushika nafasi ya pili kwenye mbio za Boston...