Mwigizaji kutoka #Marekani ,. Will Smith ameripotiwa kupata maokoto mengi katika mauzo ya filamu zake mbalimbali anazozitoa huku filamu ya ‘Bad Boys’ ikiongoza kwa...
Imeripotiwa kuwa pambano la ndondi kati ya Jake Paul na Mike Tyson limefanya kufuru katika mauzo yake ya ‘tiketi’ baada ya kupata dola milioni 10 ikiwa ni zaidi ya...
Mauzo ya simu za iPhone zinazotengenezwa na kampuni ya Apple yameshuka duniani kote kwa asilimia 10 katika miezi mitatu ya mwanzo ya mwaka 2024.Hayo yamebainishwa na utafiti u...
Kwa mara ya kwanza Kampuni ya Apple inayojihusisha na utengenezaji wa vifaa vya mawasilia imeshika nafasi ya kwanza kuwa mtengenezaji mkubwa wa simu za mkononi duniani kwa mwa...
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea ‘klabu’ ya #Simba adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kuilipa ‘klabu’ ya #Teu...
Baada ya mwanamitindo Vera Sidika kumtambulisha mpenzi wake mpya mara baada ya kuachana na mzazi mwenzie Brown Mauzo, hatimaye Brown naye ‘ame-post’ picha ya mremb...
Mwanamuziki kutoka nchini Kenya na mume wa mrembo Vera Sidika @queenveebosset, #BrownMauzo ametangaza kuachana na mke wake kwa kutalakiana.
Katika ukurasa wa Instagram wa star...
Huku mvua ya kutoa nyimbo ikiendelea kwa msanii Harmonize ameweka wazi kuwa kuna baadhi ya platform zinapopatikana kazi zake hazijamlipa mauzo yake.
Kupitia #InstaStory yake a...
Ee bwana moja kati ya story za huko mitandaoni ni mwanadada machachari kutokea pande za Kenya Vera Sidika na mpenzi wake Brown Mauzo wamebarikiwa kupata mtoto wa kike.
Wawili ...
Eh bwana eh! Unatamani kuwa mtanashati, na kufanya kazi zenye kuleta matokeo positive kwenye kampuni? Hii ni kati ya kazi ambazo ukizifanya fresh, kutoboa ni rahisi, na ...