Wajasiliamali na wafanyabiashara wote nawasalimu kwa jina la Jamuhuri la Muungano wa Tanazania.., ni matumini yangu biashara zinaenda kama kawaida na kila kitu kiko pouwa.
Sic...
Huu mwaka nao nishauchoka naona kama uishe tuuu, hahahaha! I hope mko good watu wangu wa nguvu, kama mnavyo jua wafanya biashara tuko na ule msemo wetu, mali bila ya daftari h...
Kumekua na malalamiko baina ya wafanyakazi kwa wafanyakazi wenzao au boss na watu anaowasimamia kutokana na kukosa ule muunganiko ama ushirikiano katika masuala ya kikazi.
Nik...
Na Habiba Mohammed
Yes, karibu sana kwenye makala za kazi, ujuzi na maarifa. Swala la vyama vya wafanyakazi limekuwa changamoto kwa waajiriwa katika sehemu zao za kazi.
Mwanan...
Na Habiba MohammedNiaje niajeeeee! Ebwana kama kawaida yetu tunakusogezea mada konki kuhusiana na mahusiano ambapo unapata kujifunza mambo kedekede ambayo kila mtu hachoki kuj...
Mila na desturi zetu zilikuwa zinahimiza kwamba, kabla ya vijana hawajaamua kuwa pamoja, ilikuwa ni lazima wazazi kujua kuhusu familia ya mwingine. Hata kama haina maana kuwa ...
Mambo vipi msomaji wetu wa dandoo za fashion, namshukuru Mungu kwa kutupatia pumzi katika siku hii ya leo na kutufanya tuendelee na majukumu yetu ya kila siku.
Mpendwa m...
Habari kijana mwenzangu karibu kwenye makala za Kazi ujuzi na maarifa , leo tutazungumzia umuhimu wa kuchunga muda mahali pa kazi.
Bila shaka imezoeleka kuchelewa katika...
Mila na desturi zetu zilikuwa zinahimiza kwamba, kabla ya vijana hawajaamua kuwa pamoja, ilikuwa ni lazima wazazi kujua kuhusu familia ya mwingine.
Hata kama haina maana kuwa ...
Habari msomaji ni siku nyingine tunakutana tena kupitia mwananchiscoop ambapo ninaamini kuwa u mzima wa afya na unaendelea na majukumu yako ya kila siku ya kulijenga taifa.
Le...
Habari msomaji wa dondoo hii ya fashion, siku nyingine tena tumekutana ili kujuzana mambo mbalimbali kuhusiana na mitindo, urembo na mavazi ambayo najua unayajua ila mimi naku...
Habari msomaji wetu wa dondoo za fashion, ni siku nyingine tena tunakutaka hapa ili kuweza kujuzana mambo mbalimbali kuhusiana na masuala mitindo, urembo na mavazi ambayo naju...