07
Zari na shakibi wamaliza tofauti zao
Baada ya kuzuka sintofahamu kwa wanandoa Zari pamoja na mumewe Shakibi kuwa wameachana, wawili hao wamethibitisha kuwa wapo pamoja baada ya kuonekana Saudi Arabia.Kupitia ukur...
24
Mume wa Zari afungasha virago, arudi Uganda
Aliyekuwa mume wa mfanyabiashara Zari Hassan, Shakibi Lutaaya anadaiwa kufungasha virago vyake na kurudi nchini Uganda.Hii inakuja baada ya kusambaa kwa stori kupitia mitandao...
25
Wanaochangia earphone hatarini kupata fangasi za masikio
Dar es Salaam. Kutokana na maendeleo ya teknolojia, kumekuwa na uzalishaji wa vitu vingi vyenye kurahisisha maisha ambavyo awali havikuwepo, huku wataalamu wa masuala hayo wak...
22
Hivi ndivyo Tiwa Savage alivyochagua kumaliza mwaka
Kama ilivyo desturi kwa baadhi ya wasanii kujipongeza kwa kujinunulia zawadi mbalimbali mwisho wa mwaka mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Tiwa Savage amechagua kuumaliza mwaka...
09
Gavana aliyeenda kutazama mechi aliyocheza ronaldo atakiwa kujiuzulu
Gavana wa Japan, aitwaye Kengo Oishi ambaye alienda kumuona Cristiano Ronaldo akicheza katika mechi kati ya Al Nassr FC na PSG Jul...
13
Fabregas awa kocha mkuu
Mchezaji wa zamani wa ‘timu’ ya #Arsenal, Barcelona na Chelsea, #CescFabregas ameteuliwa kuwa ‘Kocha’ Mkuu wa ‘klabu’ ya #ComoFC inayoshiri...
03
Davis adai hana hatia, mauaji ya Tupac
Mshukiwa wa kwanza katika mauaji ya ‘rapa’ kutoka nchini Marekani #Tupac, #DavisKeefeD yalitokea mwaka 1996 amefikishwa mahakamani siku ya jana Alhamis ambapo kufu...
06
Anayedai kubakwa na CR7 aibuka tena mahakamani
Mwalimu na mwanamitindo kutoka nchini Marekani Kathryn Mayorga, aliyedai kubakwa na nguli wa ‘soka’ Cristiano Ronaldo amerudisha kesi hiyo tena mahakamani kwa leng...
05
Davis kizimbani kwa mara ya kwanza, Mauaji ya Tupac
Mtuhumiwa wa mauaji ya ‘rapa’ Tupac, Duane "Keffe D" Davis, amefikishwa mahakamani siku ya jana Jumatano, baada ya kukamatwa na ‘polisi’ kwa tuhuma za ...
30
Davis akamatwa kuhusishwa na kifo cha Tupac
Duane ‘Keefe D’ Davis ambaye alikuwa shahidi katika mauaji ya rapper Tupac Shakur, amekamatwa na ‘polisi’ akihusishwa moja kwa moja na mauaji ya msanii...
29
Adele achukizwa walinzi kuzuia shabiki asicheze, Ataka wamuache afurahi
Mwanamuziki mkongwe Adele ameonesha kutofurahishwa na walinzi wa ukumbi wa The Colosseum katika Caesars Palace,  Las Vegas al...
04
Kesi ya Cardi B yafutwa
Baada ya purukushani nyingi kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na kesi ya mwanamuziki Cardi B kumpiga shabiki na Microphone wakati akitumbuiza mjini Las Vegas wiki iliyopit...
03
Microphone aliyorusha Card B kwa shabiki yaingizwa sokoni
Microphone aliyorusha Cardi B kwa lengo la kumpiga shabiki yaingizwa sokoni kupigwa mnada kwa gharama ya juu. Tarehe 29 wakati Card B aki-perform kwenye onyesho Las Vegas, sha...
26
Rostam adhamiria kuwekeza Zambia
Mfanyabiashara kutoka Tanzania na Afrika Mashariki kiujumla Rostam Azizi, ametangaza uwekezaji mkubwa katika gesi ya Liquefied Petroleum Gas (LPG) nchini Zambia, ambao utakuwa...

Latest Post