27
Rais wa TFF akanusha kumuita samatta timu ya Taifa
Rais wa TFF, #WallaceKaria akanusha kumchagua #Samatta kuwa katika kikosi cha Taifa Stars, baada ya kuwepo kwa tetesi zinazodai Rais huyo kamchagua mchezaji huyo kuwepo katika...
04
Arajiga kuamua kariakoo dabi
‘Bodi’ ya ‘Ligi’ Tanzania Bara imemtangaza #AhmedArajiga kuwa mwamuzi wa mchezo wa Kariakoo Dabi ambao ni #Simba na #Yanga utakaochezwa kesho Uwanja wa...
27
Hii ya zuchu tuiitaje
Ikiwa ni masaa 20 yamepita tangu msanii kutoka WCB, Zuchu ku-post kionjo cha wimbo wake mpya ambao anatarajia kuuachia hivi karibuni. Baadhi ya wadau wa muziki wameanza kufuku...
16
Rais wa TFF Wallace Karia: mimi sio mwanachama wa simba
Haya haya kwa wale mnaosema Rais wa TFF Wallace Karia kuwa ni mwanachama wa Simba bwana mwenyewe kakanusha leo kaweka wazi kuwa yeye sio shabiki wa timu hiyo. Aidha Rais huyo ...
25
Manara: Nipo tayari nifungwe miaka 10 ikithibitika nimemtukana
Waswahili wanakamsemo kao bwana mambo yametaradadi huku kwa msemaji wa Yanga Sc Haji Manara ametoa kauli kuwa kama amemtukana au kumtolea maneno machafu Raisi wa shirikisho TF...
30
Mambo ya kuzingatia kwa mwanafunzi wa elimu ya juu
Inaendelea…… Kama unataka kutengeneza umoja katika kazi, kundi ulilokuwa nalo linakutafsiri mbele ya jamii ni nini hasa utakachokijenga maishani mwako. Kuna msem...
16
Vitu 10 Mwanachuo anapaswa kuvifanya mapema
Kipindi uko chuo ni kipindi ambacho una mambo mengi ya kufanya kwaajili ya masomo lakini pia muda mwingine una muda mwingi ambao unaweza ukauwekeza kwenye kujiendeleza wewe mw...
11
Fanya haya ufanikiwe kimaisha ukiwa chuoni
Leo katika Karia tunazo funguo za kukusaidia wewe Mwanachuo kupata maarifa watakayokufanya ufanikiwe kimaisha pindi bado upo chuoni. Nikuweke wazi tu kwamba unaweza kufanikiwa...
04
Mbinu 30 za kufaulu katika masomo
Jenga tabia ya kuyaombea masomo yako kila siku na kila mara, wanafunzi wengi waliofaulu walimweka Mungu mbele kwenye masomo yao. Yapende masomo yako na tena uyafurahie. Ni ve...
28
Zifahamu kazi zinazolipa zaidi
Watu wengi wamekuwa wakisoma kwa malengo maalum. Japo wengi huchagua kusomea taaluma fulani kwa kuwa ina soko kubwa la ajira na kuwa na malipo mazuri ya mishahara. Hakuna anay...
14
Soma vitabu ujiongezee maarifa
Ni watu wachache sana ndiyo wanaopenda na wanafahamu umuhimu wa kusoma vitabu. Watu wengi hasa waafrika hawapendi kusoma vitabu ikiwa hakuna kinachowalazimisha kufanya hivyo k...
07
maisha yana siri nyingi, komaa humu
Mpendwa msomaji wetu leo katika karia tumekusogezea siri ya maisha na kukusisitizia kwamba maisha hayana kanuni lakini yana siri nyingi. Jongea nasi kuzijua siri hizo…&...
28
Marafiki watakaokuwezesha kufikia malengo
Katika zama hizi za maendeleo ya kidijitali, ni rahisi sana kufahamiana na watu wengi ambao, hata hivyo, wanaweza wasiwe marafiki wala kuwa na msaada kwako. Unaweza, kwa mfano...
28
Nitapataje kazi bila kushikwa mkono
Ngoja leo tuambizane ukweli hapa mpambanaji wangu. Je, ni kipi unafikiria baada ya kumaliza masomo yako? Je, kauli hii inatembea kichwani mwako au umeamua kujitambua na kufany...

Latest Post