20
Utafiti: Wanaolalia tumbo hatarini kukosa pumzi
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Dk Tony Nalda, kutoka katika kituo cha Scoliosis unaeleza kuwa wanaolalia tumbo hatarini kuathiri upumuaji kutokana na kukandamiza Diaphrag...
26
Tems awaziba midomo waliosema ni mjamzito
Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na msanii kutoka chini  Nigeria kudaiwa kuwa na ujauzito wa Future, hatimaye ameendelea kuwaziba midomo na kukanusha uvumi huo baada ya k...
01
Msechu apungua kilo 17
Mwimbaji maarufu nchini @peter_msechu ameeleza kuwa amepungua kilo 17 ndani ya miezi sita, kutoka 144 alizokuwa nazo hapo awali. Kupitia ukurasa wake wa #Instagram ameshusha u...
30
Priyanka Chopra aeleza jinsi mama yake alivyomsaidia kuhifadhi mayai yake
Hellow! I hope uko pouwa mwanangu sana, sasa kama kawaida yetu simnajua kuwa hatunaga mba mba mba, basi bwana kwenye unique story ...
03
Wembe uliosahaulika tumboni mwa mwanamama Felistah waondolewa
Madaktari nchini Kenya wameondoa wembe unaodaiwa kusahaulika ndani ya tumbo la mwanamke kwa takriban miaka 11, gazeti la Daily Nation nchini humo limeeleza. Tatizo hilo l...
03
Utumbo wa nguruwe wamponza kijana Paulo
Kijana mmoja alietambulika kwa jina la Paulo mapunda mkazi wa kijiji cha kipingu Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe anasurika kifo baada kukatwa mguu wake wa kulia na Mamba wakati...
22
Mtoto atolewa vyuma 52 tumboni
Mama wa mtoto mvulana mwenye umri wa miaka mitano ambaye alinusurika kifo baada ya kumeza vyuma 52 kutoka kwenye kifaa cha kuchezea amewaonya wazazi dhidi ya kununua baadhi ya...
27
Mwili wa mwanamke aleyetoweka toka jumapili wakutwa tumboni mwa nyoka, Indonesia
Mwanamke mmoja katika jimbo la Jambi nchini Indonesia ameuawa na kumezwa mzima na chatu, kulingana na ripoti za eneo hilo - lakini...
30
Faida za kula utumbo kwa binadamu
Nyama ya matumbo au utumbo ni kipande cha nyama inayotoka katika tumbo la wanyama kama vile ng'ombe, nguruwe, kondoo na mbuzi. Nyama hii inaweza kupatikana katika mikahawa bar...
18
Fahamu kuhusu vidonda vya tumbo
Na Mark Lewis Vidonda vya tumbo (Peptic Ulcers) ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda. Hii hutokea baada ya kuharibika kwa ukuta wenye u...
31
Afariki kwa kupigwa teke tumboni
Mmmmmm! Hii dunia inaenda wapi mana kila kukicha matukio ya ajabu yanazidi kuzuka tuu, Jovin Simon ambae ni ni mtoto wa miaka 10 Mkazi wa Mtaa wa Elimu Wilaya ya Geita amefari...
17
Malkia Karen kufanya surgery ya tumbo
Aisee za chini chini kabisa huenda msanii Malkia Karen akaenda kufanya 'Surgery' kama baadhi ya mastaa wengine walivyofanya ili kupunguza tumbo kwenye mwili wake. Malkia Karen...
01
Fahamu Vidonda vya Tumbo na dalili zake
Ugonjwa wa vidonda vya tumbo ni moja ya magonjwa ambayo yamekuwa yakiathiri afya ya binadamu wengi hapa nchini na duniani kwa ujumla. Kwa wakati tulio nao, hili ni tatizo la k...
09
FLAT TUMMY: Suluhisho hili hapa!
Hako ka kitambi kanakusumbua ehh?? Basi majibu ya uhakika ya kukitoa fasta, sisi TUNAYO!!   Ili uweze kupunguza tumbo lako unatakiwa kufanya mambo haya yafuatayo: &n...

Latest Post