12
Bright muziki kwake kama kamari, Amkumbuka Ruge
Na Aisha Charles Miaka sita iliyopita alivuma sana na kibao cha ‘Umebalika’ alichofanya na Nandy ambacho kilikuwa na ujumbe mkubwa katika jamii na ndiyo wimbo ulio...
05
Utafiti: Nusu ya vijana wenye miaka 18 hadi 29 wanaishi kwa wazazi
Kutokana na utafiti uliofanywa mwaka jana  na kituo cha Pew Research, umegundua kuwa karibia nusu ya vijana wote nchini Marekani walio na umri kati ya miaka 18 hadi 29 ba...
22
Romy Jons afichua mambo yanayowatesa vijana
Muigizaji na Dj Romy Jons ameeleza kuwa watu wengi hasa vijana wanasumbuliwa na mawazo yaliyopitiliza hofu, na wasiwasi.Kupitia ukurasa wake wa Instagram Romy amewataka watu k...
06
Offset agawa nguo na Internet bure
Mwanamuziki kutoka nchini #Marekani, #Offset ameweka heshima nyumbani kwao Atlanta baada ya kushirikiana na mfuko wa Ann Cephus kwa kuwapatia maelfu ya watu vitu ikiwemo nguo ...
30
Ngono zembe yaongeza kasi maambukizi ya VVU kwa vijana
Chuo kikuu cha Aga Khan jijini #Nairobi nchini Kenya kimebaini kufanya ngono zembe kwa vijana kumeongeza kasi ya maambukizi ya nchini humo. Kwa mujibu wa taarifa kutoka katika...
06
Usichokijua kuhusu kinjunga na vijana
Aisha CharlesHellow!! my people once again tunakutana tena katika fashion hapahapa katika jarida letu pendwa la Mwananchi Scoop lengo letu sisi ni kukujuza yale yote yanayojir...
06
Umuhimu wa kuwa single chuoni
Na Magreth Bavuma Ouyah eeeeh niaje niaje, karibuni tena kwenye segment yetu pendwa ya dunia ya wanavyuo “unicorner” sehemu moja tu tunayo elimishana juu ya m...
14
Mbosso aonesha jeuri ya pesa
Wakati wengine wakiendelea kuachia ngoma na kuzipambania zifike namba ‘one on trending’ kwa Mbosso Khan yeye ni tofauti kwa upande wake ameamua kuonesha jeuri ya p...
01
Mrembo akatiza barabarani akigawa pesa
Mwanadada mfanyabiashara wa nywele za bandia kutoka nchini Nigeria aamua kukatiza barabarani kutoa zawadi ya pesa kwa vijana waliyokuwepo pembezoni mwa barabara hiyo. Mrembo h...
30
Kocha wa soka la vijana ashambiliwa na mzazi
‘Kocha’ wa ‘soka’ la vijana wa Virginia, Vince Villanueva adaiwa kupigwa na mzazi aliyetoka nje ya uwanja na kumvamia kwa kumpiga na chupa ya maji uson...
07
Kai ashikiliwa na polisi kwa kugawa playstation
Mtayarishaji wa maudhui aliyejipatia umaarufu mkubwa kupitia  mitandao ya kijamii kama #TikTok, #Instagram, #YouTube pamoja na #Twitch kutoka Marekani Kai Cenat, ameshiki...
22
Mifuko ya hifadhi ya jamii yapewa miezi miwili kulipa madeni
Ikiwa ni Siku moja tangu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, kuitaka Serikali kuwawajibisha Waajiri wanaoshindwa kuwasilisha Michango pamoja na Mifuko kutolipa madeni ya Wanach...
29
Azaboi na ndoto ya kubadilisha maisha ya vijana wachekeshaji
Heeeeey!!sasa tuwekane sawa sasa hii ni weekend nyengine bhana I hope mko sawa wenetu wanguvu hatuna budi kukusogezea kipengele cha burudani na michezo ambapo utapata kuyajua ...
10
Sheikh Kishki:Tutalipa mahari kwa vijana 50
Taasisi ya Dini ya Kiislam ya Al- Hikma Foundation kutoka Jijini Dar es salaam, imetanganza kuwaozesha vijana 50 kwa kuwalipia mahari ambao bado hawajaoa kutokana na changamot...

Latest Post