Amkenii!!! Team Scoop inatambua uwepo wenu wanetu wa faida na ndio maana kila weekend lazima tuwe tuna jambo na nyie wakurungwa tena katika segemeti hii ya michezo na burudani...
Duh! Another weekend!! kama kawaida katika michezo hatuna muda wa kupoteza mapema tunakusogezea yaliojiri katika burudani na michezo na kama kawaida yetu tunakupa zile za uvun...
Its onether weekend!! Mtu wangu mambo vip, kama kawaida katika michezo hatuna muda wa kucheleweshe mapema tunakusogezea yalio jiri katika burudani na michezo.
Leo katika Burud...
It’s furahidayyyyyy! Nyie ama kweli siku hazigandi, ramadhani ndo hiyooo inaenda kuishia zake, basi bwana leo katika segment yetu ya burudani na mishezo tumekusogezea mw...
Aloooooh ukisikia shangwe mambo oyaoya sasa hivi hususan kwenye anga ya burudani bwana kombe la dunia ambalo linaupiga mwingi huko Qatar ama kwa hakika tayari limezinduliwa.&n...
Mambo vipi watu wa nguvu? Shukrani za dhati zikufikie mtu wa nguvu kwa support yako na kuendelea kufatilia story zetu kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii na jarida letu...
Augustine Lyatonga Mrema mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania ambaye wakati fulani alikuwa mmoja wa watu wachache maarufu zaidi ameaga dunia jijini Dar es Salaam katika Hospital...
Ayaaaah!! Huku ndiko walikotokea bwana wakina Madonga mtu kazi, bila kumsahau shujaa wake Shabani Kaoneka. Hivi umewahi kujiuliza mchezo wa ndondi, ngumi au masumbwi ulitokea ...
Moja ya story inayobamba katika mitandao huko ni ya msanii wa muziki kutokea nchini Nigeria Burna Boy ambaye ameandika historia ya kuujaza ukumbi wa Accor Arena mjini Paris Uf...
Mpira wa kikapu ni moja ya michezo maarufu inayochezwa sana barani Afrika, nikwambie tu kuwa ndiyo mchezo wa pili maarufu zaidi barani, ukiukaribia mpira wa miguu tu.
Mchezo h...
Binti wa kitanzania ambaye pia ni mwanamuziki Abby Chams ameandika historia baada ya kupata bahati ya kuwakilisha mabinti wa Tanzania pamoja na Afrika kwa ujumla katika Talk S...
Nilikutana na binti huyu mwaka 1990 wakati huo nikikaa na kaka yangu maeneo ya Mwenge. Siku hiyo nilikuwa nimetumwa maeneo ya Ubungo na nilikuwa naendesha gari la kaka y...