Mwanamuziki na mtangazaji #BabaLevo ammwagia sifa #DiamondPlatnumz Kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-share video ya nyota huyo wakati anatumbuiza na kuandika ujimbe akisem...
Muigizaji wa #BongoMovie #ElizabethiMichel maarufu kama #Lulu ameeleza kuwa mtu asitamani kuwa chawa wake kwa sababu anavisirani sana kwa hiyo kazi ya chawa itakuwa ngumu kwak...
Usiku wa kuamkia leo mchezaji wa Yanga, Skudu Makudubela amewasili Tanzania kwa ajili ya kuendelea na majukumu yake Aidha mchezaji huyo alikuwa amesema anashauku kubwa ya kuji...
Kama ilivyo kawaida ya msanii wa #HipHop #Wakazi kutofumbia macho japo likimfurahisha au likimkwaza, awamu hii aibuka kwa kummwagia sifa Harmonize kutokana na kufurahishwa na ...
Aliyewahi kuwa msemaji wa ‘klabu’ ya Yanga #HajiManara amemmwagia sifa ‘staa’ wa #BongoMovie Kajala kwa jitihada za kufanya mazoezi na kujali afya yake...
Baada ya #Yanga kuibuka kidedea siku ya jana kwa kuitandika #Kaizerchief 'goli' moja, kwenye uwanja wa Mkapa, ambapo 'klabu' hiyo ilikuwa ikisherekea siku ya #Wana...
Wakati baadhi ya wanawake wakitumia mbinu mbalimbali ili kupendezesha midomo yao, huku wapo wale wa kupaka vitu kama vile lips ticks na kufanya upasuaji wa midomo.
Wafahamu wa...
Yes, ni Jumapili ya kibabe sana, karibu kwenye ukurasa wa michezo na burudani mtu wangu wa nguvu, bila shaka za ndani kabisa kibongo bongo ngumi kwa sasa iko juu bwana.
Umesha...
“Sijawahi kutamani kuwa maarufu (star), wala sifurahishwi sana na maisha ya kuwa mtu maarufu katika jamii kwani sio maisha bora kwangu nayakumbuka maisha yangu ya ...
Kondisheni( conditioning)
Haitoshi kwa bondia kukuza ustadi muhimu wa kurusha ngumi sahihi au za nguvu. Kujilinda na kuwa na wepesi wa kukwepa ngumi ni nzuri, lakini haitoshi....
Ahh!! Weweee!! Star wa Filamu nchini Tanzania Rose Ndauka ambaye pia anafanya Muziki wa Hip Hop amesema kuwa yeye hafanyi Muziki wake kwa Njaaa.
Akitoa sababu ya kuzungumza ka...
So you are about to hit that interview, you are nervous and you don't know what to do? Hii ndio sababu nipo kwaajili yako. Take a breath, relax na usome tips za kukusai...