Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na mke wa aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama kutaka kugombea Urais 2024, Michelle amekanusha tetesi hizo kupitia ofisi ya...
Kiongozi wa Upinzani nchini Korea Kusini amechomwa kisu katika mkutano wake na Waandishi wa Habari uliofanyika katika mji wa Busan nchini humo.
Taarifa iliyotolewa na Shirika ...
‘Rapa’ na mwanamitindo kutoka nchini Marekani #KanyeWest hato gombea tena urais nchini humo mwaka 2024.Kwa mujibu wa mweka hazina wa ‘kampeni’ ameeleza...
Rais wa Marekani Joel Biden ametangaza nia yake leo Aprili 25, 2023 licha ya utafiti uliofanywa na Kituo cha Runinga cha NBC kuonesha 70% ya wananchi hawataki rais h...
Mtoto wa rais wa Uganda Yoweri Museveni, Muhoozi Kainerugaba ambaye ni Jenerali wa Jeshi, kupitia ukurasa wake wa Twitter amethibitisha kugombea kiti cha Urais wa N...
Mgombea wa chama tawala Bola Tinubu ametangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliokumbwa na utata mkubwa nchini Nigeria. Mwanasiasa huyo mkongwe mwenye umri wa miaka...
Kutoka nchini Brazil ambapo waandamanaji waliokamatwa ni wafuasi wa Rais aliyepita, JairBolsonaro ambao walivamia Bunge, Mahakama ya Juu na Ikulu Jijini Brasili...
Rais Mstaafu wa Marekani, Donald Trump adai anaundiwa mashtaka ili kumzuia asigombee urais 2024.Kauli iliyotolewa na Trump ya kutaka kugombea urais mwaka 2024, inafuatia uamuz...
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ametangaza nia yake ya kugombea tena Urais na kurudi Ikulu ya White House mnamo 2024. Trump alizindua nia yake hiyo - ya tatu ya urais...
Rais wa zamani wa Brazil Luis Inacio Lula da Silva ameshinda duru ya pili ya uchaguzi baada ya kumuangusha mpinzani wake Jair Bolsonaro na kutoa mwito wa amani na umoja baada ...
Kutokea huko nchini Kenya ambapo Aliyekuwa Mgombea wa Urais kupitia Azimio la Umoja One, Raila Odinga leo, Agosti 22, 2022 anatarajia kuwasilisha Pingamizi la Matokeo ya Urais...
Bondia maarufu kutoka Ufilipino Manny Pacquiao ametangaza rasmi kuwa atagombea Urais wa Nchi hiyo kwenye Uchaguzi wa Mwakani huku akisema atahakikisha anat...
Historia fupi ya uongozi nchini Tanzania
Yawezekana umekuwa ukisikia kuhusiana na Marais nchini, lakini haukujua Marais tuiokuwa nao walifanya nini na kupitia wapi hadi kuwa R...