Msanii wa bongo fleva Barakah The Prince ameendelea kuuwasha moto kupitia mitandaa ya kijamii na leo amedai kuwa ataweka wazi figisu zote alizowahi kufanyiwa toka mwaka 2016.
...
Masuala kadhaa yanaweza kusababisha migogoro ya mahali pa kazi, ikiwa ni pamoja na migongano ya kibinafsi, mapambano ya mamlaka, mizozo juu ya rasilimali na sera za kampuni zi...
Habari kijana mwenzangu, kama kawaida karibu kwenye makala za kazi, ujuzi na maarifa, leo tutatazama jinsi ya kuboresha utendaji wa kazi suala hili linawabeba vipi wafanyakazi...
Habari yako kijana mwenzangu ikiwa ni jumatatu tulivu kabisa ya sikukuu ya Pasaka,kama kawaida hua tunakuwa na makala za kazi, ujuzi na ajira.
Leo nimekuandalia makala inayohu...
Mwanafunzi yeyote anapaswa kukariri dhana wakati wa maisha yao ya masomo. Hakuna njia nyingine ya kukumbuka tarehe, hafla muhimu za kihistoria, majina ya wanafalsafa na maelez...
habari yako kijana karibu kwenye makala za kazi, ujuzi, na maarifa kama kawaida hii ni sehemu ya kujifunz mambo muhimu katika masuala ya kazi au ajira
moja kwa moja leo nimeku...
Habari kijana mwenzangu ! bila shaka utakua uko fresh kabisaa kama kawaida leo kwenye makala za kazi ,ujuzi na maarifa nimeakunadalia namna ya kuandika barua pepe nzuri ya uta...
Ngoja leo tuambizane ukweli hapa mpambanaji wangu. Je, ni kipi unafikiria baada ya kumaliza masomo yako? Je, kauli hii inatembea kichwani mwako au umeamua kujitambua na kufany...
Naam hiyo ndiyo kauli ya vijana wengi waliomaliza Vyuo Vikuu kwa ngazi hiyo ya Degree/Masters.
Hivi sasa kuna vijana wengi wamemaliza Degree au Masters ambao wapo kwenye soko ...
Katika zama hizi za maendeleo ya kidijitali, ni rahisi sana kufahamiana na watu wengi ambao, hata hivyo, wanaweza wasiwe marafiki wala kuwa na msaada kwako.
Unaweza, kwa mfano...
Makala hii ilianza wiki iliyopita na leo tunaendelea nayo kipande kilichobakia hivyo msomaji wetu endelea kuwa nasi.
Basi Sikatai kwamba simu ya mkononi ni kwa ajili ya matumi...
Ohooo!!! Niaje mtu wangu kama kawa kama dawa leo ikiwa ni jumatatu tulivu kabisa baada ya shamrashamra za sikuu ya Christmas hatimaye imepita salama bwana na kama umepitia wak...
Leo katika Karia tunazo funguo za kukusaidia wewe Mwanachuo kupata maarifa watakayokufanya ufanikiwe kimaisha pindi bado upo chuoni.
Nikuweke wazi tu kwamba unaweza kufanikiwa...
Niaje mtu wangu!! leo kwenye makala ya kazi, ujuzi na maarifa nimekuzogezea mbinu ambazo zinaweza kukusaidia kuongeza ubunifu katika kazi yako.
Twende sawa njia hizi kila mtu ...