Masuala kadhaa yanaweza kusababisha migogoro ya mahali pa kazi, ikiwa ni pamoja na migongano ya kibinafsi, mapambano ya mamlaka, mizozo juu ya rasilimali na sera za kampuni zi...
Klabu ya mpira wa miguu ya Ajax imemfuta kazi kocha mkuu Alfred Schreuder mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa ligi kuu ya Uholanzi (Eridivisie) dhidi ya FC Volendam uliomal...
Assalam alaykum guys!! Ni wasaa mwingine tena tunakutana kupitia kipengele cha makala za kazi, ujuzi na maarifa ikiwa lengo ni kujifunza na kuhakikisha tunatengeneza mazingira...
Habari mdau wa magazine yetu, karibu tena kwenye makala za kazi, ujuzi na maarifa kama unavyofahamu mwaka mpya na mambo mapya wahenga wanasema hivyo.
Yes, ni muhimu sana kujiu...
Kivuko cha MV. KAZI kimerejea rasmi katika eneo la Magogoni Kigamboni kwa ajili ya kutoa huduma baada ya kukamilika kwa ukarabati wake mkubwa uliogharimu kiasi cha Tsh. Bilion...
Hellow!!! Happy new year guys! Bila shaka umefanikisha kuona mwaka mpya wewe ambaye Mungu amekupa nafasi hii adhwimu sana tutoe shukran za dhati kwake.
Kama ilivyokawaida kari...
Mambo niaje mtu wangu wa nguvu ikiwa zimesalia siku kadhaa kuukamilisha mwaka 2022 tukijiandaa kuupokea 2023 panapo majaaliwa yake Mola
Ebwana kama kawaida yetu kupitia makala...
Ikiwa una wasiwasi juu ya kuwajibika kwenye kazi, pongezi. Ukweli tu kwamba una wasiwasi juu yake hukuweka mbele ya mfanyakazi mwenza mvivu, bosi hayupo, na watu wengine wote ...
Akihotubia Bunge, Rais wa Mozambique, Filipe Nyusi amesema anafuta nyongeza ya mshahara wa 13 kwa wafanyakazi, hatua hiyo imesababishwa na changamoto za kiuchumi na ...
Habari kijana mwenzangu karibu sana kwenye ukurasa wa Makala za kazi, ujuzi na maarifa bila shaka kupitia dondoo hizi unapata mengi Zaidi yakujifunza kwenye masuala ya kikazi....
Yes, ni wiki nyingine tena ambapo tunakutana kupitia kipingele cha makala za kazi, ajira, ujuzi na maarifa kwa ajili ya kujifunza mambo mengi zaidi yanayohusu sector hii ya aj...
Hii imetokea huko nchini Ethiopia ambapo waasi ambao inadaiwa wana uhusiano na kikundi cha Oromo Liberation Army wamelaumiwa kuhusika katika tukio hilo la utekaji wa...