27
Vyakula vya kuzingatia ukifikisha miaka 40 na zaidi
Wanasemaga uzee mwisho Chalinze mjini kila mtu kijana, sasa bwana kama unahitaji kuendelea kuwa kijana ungana nasi ili uweze kupata elimu kuhusiana na vyakula gani vitakufanya...
08
Kobe mzee duniani asheherekea kutimiza miaka 190
Kobe mwenye umri mkubwa zaidi duniani alietambulika kwa jina la Jonathan amesherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 190. Jonathan anadhaniwa kuzaliwa mwaka 1832 n...
07
Kiduku afunguka kuhusiana na pambano lake
Weeeuweeeh! Mzee wa show show bwana kama kawaida yake hanaga mbambamba ameweka wazi kuhusiana na pambano lake analotarajia kulifanya hivi karibuni na kuwaahidi mashabiki kutow...
02
Mayele yupo yanga mpaka 2024
Wananchiiiiiii! Wenye wanakamsemo kao wanakwambia tabu ipo pale pale, Mshambuliaji wa Yanga SC Raia wa Congo DR Fiston Mayele au mzee wa kutetema ameongeza mkataba wa kusalia ...
31
Mtoto wa mzee Mwinyi afariki
Kwa taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka katika ukurasa rasmi wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluh Hassan kutoa salamu za pole kwa mzee Mwinyi kwa kufiwa...
09
Mzee wa buga kweli ni jipu, angalia matukio alioyafanya mwaka huu
Alooooweeeeh! Alooooohtenaaah! Jamani jamani kumbe kijana wa buga yuko fire kwenye haya matukio kama unavyotujua watu wa bongo yani hatunaga mba mba mba tayari watu washafukua...
09
Wolper: Nimependa alichokifanya mzee wa Buga
Aloooooooooooh! Mama k nae yuko moto bwana hajamua kukaa kimya kwa hili lililo tokea jana la gumzo la mwanamziki anaetamba na nyimbo yake ya Buga ambayo inafanya vizuri kupiti...
08
BREAKING NEWS: Mzee wa “Buga”, Kizz Daniel atiwa mbaroni Dar
Msanii maarufu kutoka Nigeria 🇳🇬 anayetamba kwa nyimbo ya "Buga," Kizz Daniel ametiwa mbaroni leo hii baada ya kushindwa kuf...
08
Mzee wa Buga aingia mitini show Tanzania
Duuuuuuuuh! Sio powa yani bwana kwa taarifa za kusikitisha yule mzee wa Buga Kizz Daniel usiku wa kuamkia leo alitakiwa kufanya show ambayo ilipewa jina la Summer Applified la...
19
Mzee Yusuph, Nataka kumuoa Didah
Alooooooo! Nyie nyie nyie kuna watu wanabahati haswaa wakati wengine wa kugombewa kuolewa wewe utaendelea kufa single, sasa bwana  zilizokiki hivi punde  kutoka kwa ...
29
Ilikuwa fedheha sitokuja kuisahau…....
Nilifahamiana na huyu kijana mwaka 2004, tulipokutana pale kituo cha utamaduni cha Russia, akawa ni rafiki yangu wa karibu sana. Tulikuwa na mazoea ya kutembeleana mara kwa ma...
28
Unaikumbuka mpenzi chocolate ya Mzee Yusuph
TBTUNAIKUMBUKA MPENZI CHOCOLATE YA MZEE YUSSUPHNa Aisha LungatoNiaje wanangu wa mwananch scoop, leo kwenye Throuback Tuesday (TBT) tumekupeleka Pwani unajua ukanda wa Pwani we...
13
Changu akajua amepata Mreno akalamba "wallet"...!
    Ilikuwa ni mwanzoni mwa miaka ya 2000, kipindi hicho nilikuwa napiga maji kwa kwenda mbele kabla sijaamua kuacha baada kupata misukosuko kadhaa... Nakumbuka siku...
29
Jamaa akajisahau kwenye dalala, akatuacha hoi
Nakumbuka kisa hiki nilikutana nacho siku moja majira ya asubuhi. Nilikuwa nimepanda daladala kutoka Gongo la Mboto kuelekea Posta kibaruani kwangu. Wanaonijua wanaweza kujiul...

Latest Post