14
Super Eagles watunukiwa medali za heshima na Rais Tinubu
Baada ya ‘timu’ ya Taifa ya #Nigeria, maarufu kama #SuperEagles kuibuka mshindi wa pili katika michuano ya AFCON 2023, wametunukiwa medali za heshima na Rais wao B...
03
Rick Ross atoa heshima kwa Rais Samia
Baada ya kudai kuwa anampango wa kufanya ‘kolabo’ na wasanii wa wakubwa Barani Africa ‘Rapa’ kutoka Marekani #RickRoss ameendelea kuonesha upendo wake ...
27
Baada ya Beatrice zamu ya Salama, kujibiwa na Rais Samia
Ikiwa imepita siku moja tuu tangu mbunifu wa mavazi Beatrice Mwalingo, kujibuwa ‘komenti’ na Rais Samia Suluhu Hassan, sasa ni zamu ya Mtangazaji Salama Jabir, amb...
25
Aliyeahidiwa cherehani na Rais Samia afunguka
Unaweza kusema ni asubuhi ya kheri kwa Beatrice Mwalingo (28) fundi nguo ambaye amepewa ahadi ya kununuliwa cherehani na Rais Samia Suluhu Hassan.Hiyo ni baada ya dada huyo am...
04
Hersi akutana na Rais wa PSG
Rais wa ‘klabu’ ya #YangaSC na mwenyekiti wa vilabu Barani Afrika, Eng Hersi Said amekutana na Rais wa ‘klabu’ ya Paris Saint-Germain (PSG) ya #Ufarans...
02
Aliyekosa nafasi ya urais 2022 achomwa kisu
Kiongozi wa Upinzani nchini Korea Kusini amechomwa kisu katika mkutano wake na Waandishi wa Habari uliofanyika katika mji wa Busan nchini humo. Taarifa iliyotolewa na Shirika ...
02
Messi akistaafu hatoruhusiwa mchezaji mwingine kuvaa jezi namba 10
Chama cha Soka cha Argentina (AFA) kimepanga kustaafisha 'jezi' namba 10 ya Lionel Messi ambayo awali ilikuwa ikivaliwa na Diego Maradona. Mipango ya kuistaafisha 'jezi' hiyo ...
12
Ligi yasimamishwa baada ya muamuzi kushambuliwa
‘Ligi’ ya nchini Uturuki yasimamishwa baada ya muamuzi, Halil Umut kushambuliwa ndani ya uwanja katika ‘mechi’ iliyochezwa usiku wa Jumatatu dhidi ya #...
29
Marufuku kuingia bungeni na kaunda suti
Bunge nchini Kenya limepiga marufuku uvaaji wa suti iliyopewa jina la aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Kenneth Kaunda ndani ya jengo hilo. Spika wa Bunge, Moses Wetangula ame...
27
Rais wa TFF akanusha kumuita samatta timu ya Taifa
Rais wa TFF, #WallaceKaria akanusha kumchagua #Samatta kuwa katika kikosi cha Taifa Stars, baada ya kuwepo kwa tetesi zinazodai Rais huyo kamchagua mchezaji huyo kuwepo katika...
12
Rais Samia atoa ndege kusafirisha kikosi cha Stars
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa ndege itakayotumika kuwasafirisha wachezaji wa ‘timu’ ya Taifa (Taifa Stars) kwenda Nchini Morocco ambapo watacheza na ‘timu&...
09
Rais Samia aivunja bodi ya mawasiliano
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuivunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliyokuwa ikiongozwa na Mwenyekiti wa...
07
Rais wa kitaa na Messi wa bongo fleva wanajambo lao
Mwanamuziki wa Hip-Hop Nay Wa Mitego na Rich Mvoko, wanatarajia kuachia ngoma yao hivi karibuni, itakayoenda kwa jina la #SioWewe, Nay amedhihirisha ujio wa ngpma hiyo kupitia...
30
Luis afungiwa miaka mitatu
Rais wa zamani wa chama cha ‘Soka’ nchini Uhispania, #LuisRubiales amefungiwa kujihusisha na ‘soka’ kwa miaka mitatu. Mwanzo Rais huyo alisimamishwa ku...

Latest Post