Mtindo wa kusimulia visa na matukio kupitia muziki hasa wa Rap au Hip Hip uliteka hisia za wengi kipindi cha nyuma, jumbe za kuelimisha ndizo zilichukua nafasi kwa asilimia ku...
Mwanamuziki anyeupiga mwigi ndani na nje ya nchi Diamond ameendelea kuonesha ukumbwa wake kwenye reality show ya ‘Young, Famous & African’ baada ya video zake ...
Filamu ya Squid Game msimu wa pili inayooneshwa kupitia Netflix imeendelea kukusanya rekodi na sasa imetajwa kuwa ndio filamu iliyofuatiliwa zaidi na watu wasiotumia lugha ya ...
Mtandao unaokubalika zaidi duniani kote wa WhatsApp umetangaza kuacha kufanya kazi katika simu za zamani za Android ambazo hazipati Updates za mfumo mpya unaofanyika kila mwak...
Baada ya filamu ya Squid Game Msimu wa 2 kufanya vizuri na kupata rekodi za kutosha, hatimaye wasambazaji wa filamu hiyo Netflix wametangaza tarehe rasmi ya kuachia filamu hiy...
Baada ya Mfululizo wa msimu wa pili wa Squid Game kufanya vizuri mara tu baada ya kuachiwa, wasambazaji wakuu wa filamu hiyo Netflix wametangaza ujio wa Msimu wa 3 utakaotoka ...
Mwigizaji mkongwe wa Bollywood Amitabh Bachchan amesema alitaka kuzimia baada ya kukuana kwa mara ya kwanza na marehemu Michael Jackson ‘MJ’.Amitabh ameyasema hayo...
Kampuni ya Meta ipo mbioni kuja na miwani mpya yenye teknolojia ya hali ya juu ambayo inatajwa kuwa na uwezo wa kuunganisha ulimwengu wa kidigitali.Miwani hiyo iliyopewa jina ...
Dar es salaam. Familia ya aliyekuwa mwimbaji wa kundi la Zabron Singers Marco Joseph imesema chanzo cha kifo cha ndugu yao ni tatizo la moyo lilitokea ghafla akiwa nchini Keny...
Kwenye ulimwengu huu wa teknolojia zipo aina nyingi za simu, kutokana na uwepo wa kampuni nyingi za kutengenea bidhaa hizo. Lakini ukiwa kama mtumiaji na mteja wa vifaa hivyo ...
Mwanamuziki wa #BongoFleva #Nandy, amesimulia harakati zake za kupambania ndoto zake za kuwa msanii maarufu huku akidai kuwa kuna msanii kutoka kundi la THT alikuwa akimbania....
Mtayarishaji wa muziki kutoka nchini Nigeria, #KukurukuBeats amefunguka na kutoa heshima kwa msanii #Ruger akidai kuwa amemfanya nyota yake ing’ae baada ya msoto wa muda...