28
Kocha wa Al Ahly aahidi kumaliza mchezo kwa Mkapa
‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya #AlAhly, #MarcelKoller ameahidi kuimaliza ‘mechi’ yao dhidi ya ‘klabu’ ya #Simba katika uwanja wa Benjami...
28
Waamuzi wa simba na Yanga wajulikana
Muamuzi #AbongileTom kutoka nchini Afrika Kusini ameteuliwa kusimamia mchezo wa robo fainali ya ‘ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba SC dhidi ya #AlAhly kutoka nchini ...
01
Baba mzazi wa Bacca atua Dar kumshuhudia mwanaye
Baba mzazi wa mchezaji wa ‘Klabu’ ya Yanga, Ibrahim Bacca mzee Abdallah Hamad tayari amewasili Dar es salaam akitokea kisiwani Zanzibar kwa ajili ya kuishuhudia &l...
25
Kikosi cha Yanga chaanza safari kurudi Dar
Baada ya kuchezea kichapo cha mabao 3-0 usiku wa kuamkia leo dhidi ya CR Belouizdad, katika hatua makundi ‘Ligi’ ya Mabingwa Africa, sasa kikosi cha ‘klabu&r...
22
Harmonize alitaka kuzichapa jana kwa Mkapa
Inadaiwa kuwa mwanamuziki wa bongo fleva Harmonize ataka kuzichapa na walinzi wa uwanja wa Taifa Benjamin Mkapa baada ya walinzi hao kukataa msanii huyo asiingie na walinzi (B...
14
Yanga yaweka bango njia ya Simba
Baada ya kuifunga ‘klabu’ ya Simba mabao 5-1, ‘timu’ ya Yanga imeamua kuweka bango karibu na uwanja wanaofanyia mazoezi Simba. Bango hilo lenye matokeo...
16
Baada ya sare, Simba na Power Dynamos kukiwasha kwa Mkapa
Katika mchezo uliochezwa leo kwenye uwanja wa Levy Mwanawanda nchini Zambia, kati ya ‘Klabu’ ya Simba na Power Dynamos ‘timu’ zote zimetoka 2-2 kwenye ...
14
Yanga day kinawaka kwa Mkapa
Kumekuwa na minon’gono ya hapa na pale kwa mashabiki wa ‘klabu’ ya #Yanga kuhusiana umarufu walioutengeneza misimu miwili iliopita na kuwa imara kwenye timu ...
04
Style za kujamiiana zinaweza kuvunja uume
Ebanaeee!! Hii kali niwatahadhalishe tu wale wanaume wa kukamia game mkiwa falagha mambo ni tofauti, tafiti za madaktari wa idara ya magonjwa ya mfumo wa mkojo (UTI) katika Ho...
01
Watendaji 7 wasimamishwa kazi uwanja wa mkapa
Serikali imewasimamisha kazi watendaji 7 wanaofanya kazi uwanja wa taifa (Benjamin Mkapa stadium) ambapo walisimamishwa kazi kutokana na hitilafu ya umeme iliyojitokeza katika...
23
Ntibanzokiza kuikosa Namungo leo
Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amethibitisha kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Saido Ntibazonkiza atakosekana kwenye mchezo wa leo dhidi ya Namungo utaopigwa katika dimba...
09
Historia ya kazi ya Urais Tanzania
Historia fupi ya uongozi nchini Tanzania Yawezekana umekuwa ukisikia kuhusiana na Marais nchini, lakini haukujua Marais tuiokuwa nao walifanya nini na kupitia wapi hadi kuwa R...

Latest Post