Msanii wa filamu na mfanyabiashara Tausi Mdegela anasema kutokana na kimo chake kifupi, kuna baadhi ya watu katika jamii na mitandao wanaona hastahili kufanya baadhi ya vitu.H...
Mwigizaji wa Marekani Auli’i Cravalho, ambaye amejizolea umaarufu kupitia filamu ya ‘Moana 1 & 2’ amefunguka kuwa filamu hiyo imemfungulia maisha kwani i...
Safari moja huanzisha nyingine msemo huu unajionesha kwa mwanadada Rosamaria Mrutu ambaye alianza kufanya kazi kama mwanahabari lakini baadaye akajikuta anaangukia kwenye u-vi...
Siku moja baada ya habari kuvuja kuhusu Diddy kuwasilisha ombi la kufuta kesi ya unyanyasaji wa kijinsia iliyofunguliwa na mtayarishaji Rodney "Lil Rod" Jones, dhidi yake, mta...
Mwigizaji wa Bongo Movie Elizabeth Michael ‘Lulu’ wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 22, jijini Dar es Salaam amesema kuwa uhusika anaocheza kwen...
Mwanamke aitwaye Maria Branyas Morera kutoka Hispania ambaye alikua akishikiria rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Records’ kuwa binadamu mzee zaidi amefariki akiw...
Licha ya kuwa katika ulimwengu wa burudani, umaarufu na mafanikio mara nyingi hutafsiriwa kama kipimo cha furaha kwa wasanii, lakini wapo baadhi ambao wamekuwa wakiikimbia tas...
Baada ya mwigizaji mkongwe na aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu kufika nchini Korea kwa ajili ya ziara ya mafunzo kuhusiana na mswala mazima ya tasnia ya ui...
Wakati baadhi ya wadau wakisubiria mkali wa Hip-hop Diddy akamatwe kufuatia na shutuma zinazomkabili za unyanyasaji wa kingono, sasa msanii huyo ameonekana akiendelea kufurahi...
Mwingizaji na nyota wa Big Brother Naija, kutoka nchini Nigeria, Tolani Baj amedai kutishiwa maisha na mashabiki wa #Wizkid.
Tolani ameyasema hayo katika kipindi cha ‘Ba...
Marehemu mwigizaji kutoka Nigeria John Okafor (62) maarufu Mr Ibu ambaye alifariki Machi 2, 2024 tayari amezikwa katika mji aliozaliwa wa #Amuri, Jimbo la #Enugu nchini humo.I...
Sanamu la aliyewahi kuwa rais wa Marekani na mwanasheria Abraham Lincoln lililopo Washington DC, limeripotiwa kuyeyuka huku sababu ikitajwa ni joto kali nchini humo ambapo mpa...
Mwanamuziki maarufu nchini Nigeria, #Simi, ametoa sauti yake katika maandamano ya kupinga ongezeko la kodi yanayoendelea nchini Kenya ambapo amedai kuwa inahuzunisha watu kupo...