10
Aunty Ezekiel aomba radhi kuchapisha picha chafu
Msanii wa filamu nchini, Aunty Ezekiel amesema kilichopelekea aitwe na Bodi ya Filamu nchini ni kuchapisha picha chafu kwenye ukurasa wake wa Instagram. Akizungumza na waandi...
10
Travis Scott Awazawadia Lamborghini Wasanii 12
Wakati akielekea kuachia albamu yake mpya ya ‘Jack Boys 2’ rapa kutoka Marekani, Travis Scott amewazawadia gari aina ya Lamborghini wasanii wote aliyowashirikisha ...
10
Ndoto Za Akon Kujenga Mji Wake Zaota Mbawa
Ndoto ya msanii na mwigizaji Akon Thiam ya kujenga mji wa kisasa nchini Senegal imeota mbawa baada ya serikali nchini humo kuchukua eneo hilo walilompatia.Serigne Mamadou Mbou...
10
Mfahamu Mike ambaye sauti yake inatamba kwenye Kombolela
Mwanamuziki Michael James ‘Mike Song’ ameeleza namna tamthilia ya Kombolela na Saluni ya Mama Kimbo ilivyofanya atambulike na kumpa madili kimataifa.Akizungumza na...
09
Mbivu, Mbichi Kesi Ya Diddy Kujulikana Oktoba
Inaelezwa kuwa hukumu ya Sean 'Diddy' Combs itatolewa Oktoba 3,2025 kwa makosa mawili likiwemo la kuhusika na biashara ya ukahaba, hatua hiyo imefikiwa baada ya wana...
09
Baba Wa Rihanna Azikwa Mwezi Mmoja Baada Kifo Chake
Baba mzazi wa mwanamuziki wa Marekani Rihanna, Ronald Fenty, amezikwa jana Jumanne, Julai 8, 2025 nyumbani kwao Barbados baada ya kufariki Mei 31,2025.Rihanna na baba watoto w...
09
Waandaaji Miss Tanzania Wakata Rufaa Kupinga Uamuzi Wa Basata
Kampuni inayojihusisha na kuandaa mashindano ya Miss Tanzania, 'The Look' imekata rufaa kupinga uamuzi uliotolewa na Baraza la Sanaa la Taifa 'Basata' wa k...
09
Mzee Kikala: Nina watoto wengi kuliko wa kwenye Kombolela
Wakati baadhi ya watu wakimuhurumia Mzee Kikala wa kwenye tamthilia ya ‘Kombolela’ kwa mtihani anaopitia kwa kuwa na watoto wengi wasiokuwa na maadili kwenye tamth...
08
Aunty Ezekiel Aitwa Bodi Ya Filamu
Bodi ya Filamu Tanzania imemuita msanii wa maigizo Aunty Ezekiel kufika bila kukosa katika ofisi ya bodi hiyo zilizopo kivukoni, Dar Es Salaam siku ya Alhamisi, Julai, 10 2025...
08
Ben Pol: Nikiacha Muziki Sitotangaza
Msanii wa Bongo Fleva, Ben Pol kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa ikitokea kaamua kuacha muziki hakutakuwa na tangazo wala waraka.“Japo sijafikiria na sina...
08
Drake Aweka Rekodi Billboard
Msanii nguli wa Hip Hop kutoka Canada, Drake, ameweka historia mpya katika tasnia ya muziki duniani kwa kuwa msanii wa kwanza kuwahi kuingia kwenye orodha ya juu ya Billboard ...
08
Ifahamu Nchi Yenye Watu 30
Kama ulikuwa hujui basi leo nakujuza zaidi, kuna nchi ndogo zaidi duniani iitwayo Molossia, ambayo imekuwa ikiwavutia wengi kufuatia na utawala pamoja na maisha ya wananchi wa...
07
Chiku wa Kombolela apata funzo
Mwimbaji wa muziki wa taarabu, Hanifa Maulid ‘Jike la Chui’ anayetamba katika tamthilia ya Kombolela kwa jina la Chiku, amesema amejifunza mengi baada ya kupa...
07
Jux afunguka ishu ya kufilisika baada ya ndoa yake
Mwimbaji wa Bongo Fleva, Jux amekanusha madai ya kufilisika hadi kufunga duka lake la African Boy baada ya kufanya sherehe ya kifahari ya harusi yake mkewe Priscilla Ajok...

Latest Post