26
Kocha Klopp atimiza ndoto ya shabiki
‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya #Liverpool, #JurgenKlopp ametimiza ndoto ya shabiki wa ‘timu’ hiyo raia wa #Ireland kwa kumualika kwenye viwanja vya ...
30
Ahmed Ally amuita Gamondi mazoezini
Msemaji wa ‘klabu’ ya #Simba, #AhmedAlly ametupa jiwe gizani baada ya kushusha ujumbe ambao baadhi ya mashabiki wametafsiri kuwa huwenda dongo hilo likawa linamlen...
25
Mudathir na Feitoto kukosa ‘mechi’ tatu
‘Mastaa’ wawili wa ‘klabu’ ya #Yanga na Azam FC inadaiwa kuwa wanatarajia kuingia kwenye faini TSh 500,000 na kufungiwa ‘mechi’ tatu kutoka...
22
Adam afunguka kuzuiwa kufanya mazoezi kabla ya tamasha
Msanii kutoka nchini Uingereza, Adam Thomas amevunja ukimya baada ya kupigwa marufuku kufanya mazoezi ya wimbo wake baada ya kuhofiwa kuwa na ugonjwa wa mafua kabla ya kuingia...
11
Mwanariadha wa zamani apigania maisha yake ICU
Mwanariadha mkongwe wa Olimpiki kutokea nchini Marekani Mary Lou Retton inadaiwa kuwa kwa sasa anapigania maisha yake ICU akishambuliwa kwa ukonjwa wa mapafu (Pneumonia). Inae...
09
Mzaliwa wa kigoma ang’ara Marekani
Benard Kamungo mzaliwa wa kasulu, Kigoma anayeichezea ‘klabu’ #FCDallas inayoshiriki ‘ligi’ kuu ya nchini Marekani ameitwa katika kikosi cha awali cha ...
26
Sancho aendelea kushushiwa adhabu
Baada ya mchezaji maarufu kutoka’ klabu’ ya Manchester United, Jadon Sancho kuzuiliwa kufanya mazoezi na kikosi cha kwanza siku chache zilizopita, ‘timu&rsqu...
03
Adaiwa kufariki baada ya mwalimu kumlazimisha afanye mazoezi
Mwanafunzi wa miaka 12, Yahshua Robinson anadaiwa kufariki dunia baada ya mwalimu wa mazoezi kumlazimisha mtoto huyo kufanya mazoezi ya kukimbia katika kipindi cha joto kali. ...
01
Manara azimika na ufanyaji mazoezi wa Kajala
Aliyewahi kuwa msemaji wa ‘klabu’ ya Yanga #HajiManara amemmwagia sifa ‘staa’ wa #BongoMovie Kajala kwa jitihada za kufanya mazoezi na kujali afya yake...
23
Umuhimu wa mazoezi katika kuimarisha afya yako ya akili chuoni
Magreth Buvuma Niaje niaje wakuu, karibu tena kwenye session yako pendwa kabisa ya Uncorner, na sehemu ni moja tu ambayo tunapiga story huku tukijifunza mambo mbalimbali yanay...
16
Marumo wagoma kufanya mazoezi
Ikiwa ni siku moja tuu imebaki ili timu hiyo iweze kuingia ndimbani kwa ajili ya mchezo wao na mabingwa mara 29 yanga Afrika, wachezaji wa Marumo Gallants ya Afrika Kusini wam...
07
Mazoezi ya nyumbani
Sio kila mtu anapenda kufanya mazoezi Gym. Wengine kama mimi tunapenda kufanya mazoezi nyumbani kwa sababu moja au nyingine. Na kama wewe unaangukia kundi hii, fuata hatua hiz...
02
Mazoezi salama kwa mama mjamzito
Watu wengi wanaamini kwamba ujauzito ni sababu ya mapumziko, kula kupita kiasi na kutokufanya kazi kabisa. Ukizungumzia mazoezi, ndiyo kabisa wengi wetu bado tunaamini kw...
28
Fahamu aina 5 ya Mazoezi hatari
    Karibu msomaji wetu wa magazine ya Mwananchiscoop na leo katika kipengele hiki cha fitness tutaangalia aina tano ya mazoezi ambayo ni hatari na yanaweza kukusaba...

Latest Post