Hellow! I hope mko pouwa watu wangu wa nguvu, tualikane basi hayo mabiriani sio mle wenyewe, au ndo mpaka tuongee kiarabu hahahah! (Jokes), kama kawaida katika kulizonge...
Aloooooweeeh! Aloootenaaa! Sijui tuseme wiki hii ni wiki ya mwamba La Pulga au Messi kuupiga mwingi kwa kuwazawadia wachezaji wake na benchi la ufundi kwa kuwapatia simu za ip...
Oooooh! Haya haya kumekucha kumekuchwa wale vipenzi vya apple phone kuna ujumbe wenu hapa, basi bwana unaambiwa Simu mpya za iPhone 14 zimeanza kuuzwa rasmi nchini Tanzania le...
Eeebwana eeeh mambo vipi kijana mwenzangu! Hivi ukihitaji kununua simu mpya unafahamu vigezo vya kuangalia kabla hujafanya maamuzi? Usiogope ni mambo madogo tu chukua hii hapa...
Yees! Mambo vipi mdau wa kipengele cha smartphone kama kawaida kila jumatano huwa tunajifunza mambo mbalimbali yanayohusu simu zetu.
Leo bwana nimekuandalia dondoo inayohusu j...
Mambo niaje! msomaji wa Mwananchi Scoop? Leo kwenye kipengele cha Smartphone bwana nakuletea namna simu janja zinavyotengenezwa bwana au sio fuatilia dondoo hii ili uweze kuji...
Ebwanaa eeh!! mambo vipi hivi unajua kama kila kukicha smartphone yako ina uwezo wa kufanya mambo kadha wa kadha ?.
Je unafahamu jinsi ya kuficha chats zako za whats up?leo kw...
Hellow mambo vipi?!! Tupo kwenye kipengele chetu cha kibabe bhana jumatano lazima tuamshe na Smartphone ili kuhakiksha simu zetu tunakwenda nazo sawa bin sawia hakuna kuremba ...
Niaje mwanangu mwenyeweee!! Aaah wewe hatari kabisa leo ndani ya smartphone bwana nakuletea njia ambazo ni rahisi kuzitumia pindi betri ya simu yako ikiwa mpya ili lisiwahi ku...
Awooooteeee!!!! Namna hiyo ndivyo ninavyoanza kwa vibe kama lote mwanangu mwenyewe! Karibu kwenye kipengele kizuri kabisa cha Smartphone, huu ni uwanja wako wakujidai kuimilik...
Niaje mdau wa Mwanachi scoop!! Leo ndani ya smartphone bhana nakuletea Matumizi sahihi ya camera zetu mbali na kupiga picha, wengi tumezoea camera kuitumia kwa kup...
Ebwana eeeh!!! mambo vipi kijana mwenzangu! Hivi ukihitaji kununua simu mpya unafahamu vigezo vya kuangalia kabla hujafanya maamuzi? Usiogope ni mambo madogo tu chukua hii hap...
Niaje bhana! Karibu kwenye ukurasa wa Smartphone ikiwa ni Jumatano, tulivu kabisa huku mvua ikiwa inapigapiga katika baadhi ya maeneo jijini Dar es salaam, direct tutakwenda k...
Mambo niaje? Karibu kwenye ukurasa wa Smartphone na leo bwana bila kupoteza wakati nakuletea njia ambazo zitakusaidia betri la simu yako kudumu.
Nikwambie tu kuwa Matoleo meng...