I hope mko good watu wangu wa nguvu, kama mnavyojua wanavyuo wengi wamemaliza mitihani na wako mbioni kupeleka CV zao katika makampuni mbalimbali sasa leo nakusogezea kitu amb...
So you are about to hit that interview, you are nervous and you don't know what to do? Hii ndio sababu nipo kwaajili yako. Take a breath, relax na usome tips za kukusai...