29
Ilikuwa fedheha sitokuja kuisahau…....
Nilifahamiana na huyu kijana mwaka 2004, tulipokutana pale kituo cha utamaduni cha Russia, akawa ni rafiki yangu wa karibu sana. Tulikuwa na mazoea ya kutembeleana mara kwa ma...
13
Changu akajua amepata Mreno akalamba "wallet"...!
    Ilikuwa ni mwanzoni mwa miaka ya 2000, kipindi hicho nilikuwa napiga maji kwa kwenda mbele kabla sijaamua kuacha baada kupata misukosuko kadhaa... Nakumbuka siku...
29
Jamaa akajisahau kwenye dalala, akatuacha hoi
Nakumbuka kisa hiki nilikutana nacho siku moja majira ya asubuhi. Nilikuwa nimepanda daladala kutoka Gongo la Mboto kuelekea Posta kibaruani kwangu. Wanaonijua wanaweza kujiul...
11
Kanjanja mkware nikatia timu msibani…!
Nakumbuka ilikuwa ni mwishoni mwa miaka ya 1990, ndipo tukio hili liponitokea.   Baada ya kupata misukosuko kadhaa hapa jijini Dar, kutokana na mbilinge zangu za ujanani ...
09
AKANIAMBIA SHEMEJI PIGA MZIGO
 Nilikutana na binti huyu mwaka 1990 wakati huo nikikaa na kaka yangu maeneo ya Mwenge. Siku hiyo nilikuwa nimetumwa maeneo ya Ubungo na nilikuwa naendesha gari la kaka y...

Latest Post