Wanasarakasi kutoka nchini Tanzania Ramadhani Brothers wameshindwa kutwaa ‘taji’ la mashindano maarufu dunia ya America’s got talent baada ya kushika nafasi ...
Rasmi Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepitisha mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda kuandaa michuano ya Afcon 2027.
Kamati ya Utendaji CAF imetangaza uamuzi huo leo nchini ...
Inadaiwa kuwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemzuia rasmi ‘Kocha’ mkuu wa ‘klabu’ ya Azam FC, Youssouph Dabo, raia wa Senegal kusimama kwenye 'be...
Mwanamuziki #ShomaDjozi amefunguka kuwa wasanii wa Afrika Kusini wana sample nyimbo zao za zamani ili kutoa muziki mzuri wakisasa Amapiano, lakini kwa wasanii wa Tanzania hawa...
Baada ya Shirika la Umeme nchini(TANESCO) kutoa taarifa ya kuwa hakutakuwa na umeme kwenye baadhi ya maeneo jiji Dar es Salaam, huku baadhi ya watu wakiwa wanalalamika kutokan...
Wanasarakasi kutoka nchini Tanzania Ramadhani Brothers wamefanikiwa kuingia hatua ya ‘fainali’ katika shindano la America’s Got Talent msimu wa 18 nchini Mar...
Serikali ya Tanzania inamuandaa msanii wa filamu kutoka nchini India, Sanjay Dutt kuwa balozi wa heshima kutokana na mapenzi yake kwa nchi na kuwa na wafuasi wengi watakaoona ...
Mchekeshaji #CoyMzungu amedai kuwa hajawahi kuwa na mahusiano na mwanamke yeyote wa kitanzani wala mzungu.
Ameyasema hayo katika mahojiano na vyombo vya habari anaeleza yeye h...
Mbunifu wa mavazi ya asili nchini, Makeke amefunguka na kutoa sababu ya kuacha kufanya kazi na wasanii wa Tanzania, amedai kuwa wasanii wengi ni wababaishaji na hawathamini ka...
Kama tunavyofahamu kauli ya Kaligraph iliwatoa wasanii wengi wa hip-hop kwenye mashimo waliyokuwa wamejificha, bidada Rosa Ree akaachia mkwaju huku maneno kwenye mitanda...