24
193 wawekwa karantini ugonjwa wa Marburg
Kufuatia ugonjwa hatari wa Marburg kutoka mkoani Kagera watu 193 wawekwa karantini kwaajili ya uchunguzi zaidi, Miongoni mwa watu hao ni watumishi wa afya 89 na weng...
17
5 wafariki kwa ugonjwa usiojulikana Kagera
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa tahadhari juu ya uwepo wa ugonjwa ambao bado haujajulikana mkoani Kagera, katika Wilaya ya Bukoba Vijijini, ambapo watu 7 wanasadikika k...
07
Zaidi ya 30% wana ugonjwa wa usubi
Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji wa Njombe, Dkt. Isaya Mwasubila, amesema tafiti zimebaini maambukizi makubwa ya ugonjwa wa usubi katika maeneo 4 ambayo ni Itipula 30%, Igola...
05
Unafahamu nini kuhusu tezi dume
Na Mark Lewis Tezi dume ni kiungo kidogo na ni sehemu moja ya uzazi wa wanaume. Hupatikana chini ya kibofu na mbele ya mwanzo cha njia itoayo mkojo hupitia ndani ya tezi dume....
24
Mbu wa malaria anawezekana kuwa chanzo cha ugonjwa wa mabusha
Inasemekana kuwa chanzo kikubwa cha magonjwa ya mabusha ni vimelea vya minyoo jamii ya filaria, ambavyo vinaingia kwenye damu na vinaweza kusababisha maji kujikusanya sehemu z...
12
Ugonjwa wa chango la uzazi kwa wanawake
Hali ya chango au tumbo kuunguruma wakati wa hedhi inaweza kumfanya mwanamke akakosa raha kabisa. Mwanamke anaweza kujihisi kama vile mwili wake umeongezeka uzito au kwamba tu...
21
Fahamu zaidi kuhusu ugonjwa wa Ebola.
Alooooh! Tunajua unajua lakini tunakujuza Zaidi maana katika mambo ya afya kila siku zinazuka tiba mpya so ukiona Makala yoyote kuhusu afya usipuuzie kuisoma maana huwezi jua ...
16
Fahamu kuhusu ugonjwa wa PID
Hello vipenzi! Leo katika afya tumewasogezea mada nzuri sana kwa dada zetu, ugonjwa huo ambao unawasumbua baadhi ya wasichana lakini wanaona aibu kuweka wazi unafahamika kwa j...
13
WHO: Majaribio ya chanjo ya ugonjwa wa ebola kuanza hivi karibuni
Mkuu wa Shirika la afya duniani WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema kuwa kliniki ya majaribio ya chanjo inayoweza kukabiliana na ugonjwa wa ebola inaweza kuanza kazi ndani...
25
Ugonjwa wa kuvimba fizi
Ooooooh! Kama kawaida yetu tunazidi kukusogeza gurudumu katika kukufanya wewe mfuatiliaji wetu upate kitu moyo unapenda. Sasa leo katika segment yetu ya afya tunakusogezea mad...
17
Nandy: Mimba sio ugonjwa
Aloooooooweee! Aloooootenaaa! Bwana bwana unaambiwa uko mimba sio kitu cha kukufanya ushindwe kufanya mambo yako mengine mfano kazi na mengineyo, maneno hayo yamesemwa na mama...
25
Wasiwasi ni ugonjwa! Tambua dalili zake mapema
Unaweza kujiuliza wasiwasi nao ni ugonjwa eti? Kisaikolojia huu ni ugonjwa ambao unasumbua baadhi ya watu na kwa sasa umekuwa mkubwa kutokana na mambo ya sayansi na teknolojia...
12
Fahamu kuhusu ugonjwa wa Hernia
Na Aisha LungatoHernia ni uvimbe (eneo lililotuna) kutokana na viungo vya ndani ya mwili kusukuma kuta za misuli inayozunguka au kushikilia viungo hivyo. Hernia hutokea wakati...
10
Nyama za pua, ugonjwa unaowatesa wengi
Ugonjwa wa nyama za pua ni neno linalotumika kumaanisha nyama zilizoota katika pua ambazo zinaweza kuwa ni sehemu ya pua ambapo zimekuwa kubwa kiasi cha kuziba pua au ni nyama...

Latest Post