07
Fanya mambo haya iwapo watu wakikuchukia
  Na Neema Mwamkina Hakuna mtu badala yako, pambana kwa ajili ya maisha yako. Fahamu kuwa hakuna mtu yeyote duniani atakayebeba maisha yako. Mtu anayekuchukia na kukufany...
26
Jinsi ya kukabiliana na Msongo wa mawazo
Na Aisha Lungato  Msongo wa Mawazo/Stress ni tatizo ambalo limeendelea kuwa tatizo sana kwa wanaadamu katika zama tulizo nazo,Katika miaka hii tuliyo nayo, ni sahihi kabi...
12
jinsi ya kujenga ujasiri wa kukabiliana na changamoto za maisha
Ndugu yangu msomaji hapo ulipo unakabiliwa na changamoto katika maisha na ujui utawezaje kukabiliana nazo? Je ukikabiliwa na changamoto hizo unatafuta njia za kuweza kuzitatua...
05
Unafanyaje iwapo watu wako wa karibu wanakuchukia
Hakuna mtu badala yako, pambana kwa ajili ya maisha yako. Fahamu kuwa hakuna mtu yeyote duniani atakayebeba maisha yako. Mtu anayekuchukia na kukufanyia mambo mabaya analengo ...
28
Kanuni za Kuishi na Wanaokuchukia
Na Neema Mwamkina Maisha ya mwanadamu wakati mwingine yamejaa matukio ambayo huwezi kuyaepuka. Moja kati ya hayo ni mtu kuchukiwa na wenzake na kujikuta katika wakati mgumu iw...
24
Jifunze namna ya kujikubali
Unavyoonekana? Je! Wewe unajionaje? Je! Unafikiri wengine wanafikiria wewe? Je! Unafikiri una uwezo wa kufikia kile ulichokusudia kufanya? Je! Unafikiri unajipenda vya kutosha...
03
Je, wajua kuwa una tatizo la kisaikolojia
Katika maisha yako ya kila siku kuna mambo mengi sana unapenda kuyafanya na pia kuona watu wengine wakiyafanya, katika hali ya kawaida ni vigumu sana kuweza kutambua kwa harak...
20
ZIJUE TABIA ZA MTU MKOSOAJI
Leo tutaongelea tabia za watu wasumbufu duniani. Wanasaikolojia wamekuwa wakisoma tabia za watu tofauti na kugundua kuwa zinatofautiana kutoka na makuzi, malezi na mazingira a...
20
Dalili za mtu mbinafsi
Habari kijana wenzangu hasa wewe uliyopo chuoni, natumaini umzima wa afya na unaendelea na majukumu yako ya masomo na biashara zingine kama unafanya. Ni wakati mwingine tena t...
13
FAHAMU KWA UNDANI UGONJWA WA WASIWASI
Unaweza kujiuliza wasiwasi nao ni ugonjwa eti? Kisaikolojia huu ni ugonjwa ambao unasumbua baadhi ya watu na kwa sasa umekuwa mkubwa kutoka na mambo ya sayansi na tekelojia. W...
30
Unyanyasaji wa kisaikolojia katika uhusiano
Na Neema Mwamkina Unyanyasaji wa kisaikolojia au kihemko ni athari ya kimfumo kwa mtu mwingine. Tofauti na aina zingine za unyanyasaji, huu wa kisaikolojia hauonekani wazi kwa...
18
Zijue sababu zinazokufanya uwe jinsi ulivyo
Ni wakati mwingine tena tunakutana kupitia dondoo za saikolojia zinazokujia katika jarida letu na leo tumekuletea sababu zinazokufanya uwe jinsi ulivyo. Tunafahamu k...
10
Ijue balehe ya ndoa
Najua kuwa vijana wenzangu mliopo vyuoni mnatamani siku moja kuoa au kuolewa lakini mnafahamu balehe ya ndoa?   Leo katika dondoo ya saikolojia tutaongelea balehe ya ndoa...
09
Tatizo la ugonjwa wa wasiwasi (Anxiety Disorder)
Unaweza kujiuliza wasiwasi nao ni ugonjwa eti? Basi leo ndo utajua hujui!!! Kisaikolojia huu ni ugonjwa ambao unasumbua baadhi ya watu na kwa sasa umekuwa mkubwa kutokana na m...

Latest Post