Filamu maarufu inayokimbiza zaidi Duniani kote ya ‘Squid Game’ msimu wa pili imeripotiwa kuweka rekodi kwa kushika namba moja kwenye nchi zaidi ya 93.Kwa mujibu wa...
Hatimaye filamu maarufu ya Korea Kusini iitwayo Squid Game msimu wa pili inaachiwa rasmi leo Desemba 26, 2024.Msimu huu mpya wa Squid Game unatarajiwa kumuonesha mshindi wa aw...
Mtengeneza maudhui kutoka nchini Marekani Mr Beast ambaye alijulikana zaidi kupitia mitandao ya kijamii baada ya kuzikwa akiwa hai kwa siku saba, ameripotiwa kuwekeza mpunga m...
Mshukiwa wa mauaji ya ‘rapa’ kutoka Marekani Tupac Shakur, Duane “Keefe D” Davis, amewasilisha ombi la kuachiwa huru kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa...
Mwigizaji na mtengenezaji wa filamu kutoka Korea Kusini, Lee Jung-jae ameweka wazi kuwa filamu ya Squid Game msimu wa pili inatarajiwa kuoneshwa kwa mara ya kwanza Desemba 202...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani J.Cole amemuomba msamaha Kendrick Lamara katika onesho la Dream Ville usiku wa kuamkia leo.
Cole ameeleza kuwa anajuta kumuongelea vibaya &l...
Mwanamziki Rehema Chalamila, maarufu kama Ray C ametoa fuzo kwa wasanii nchini Tanzania, kudumisha upendo ili kazi zao ziweze kufanya vizuri zaidi.
Kupitia ukurasa wake wa mta...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #Beyonce ameshindwa kujizuia kwa kumpongeza mwanamuziki kutoka Afrika Kusini, #Tyla kwa kutoa Album yake ya kwanza iitwayo “Tyla&rdqu...
Muigizaji maarufu kutoka nchini Korea Oh Young-soo, ambaye alijulikana zaidi kupitia filamu yake ya ‘Squid Game’ amekutwa na hatia kwenye kesi ya unyanyasaji wa ki...
Kampuni ya #Netflix imeachia rasmi Squid Game the Challenge ambalo ni onesho la shindano la uhalisia lililohamasishwa na Tamthilia ya #Kikorea ya #SquidGame.
Ambapo washiriki ...
Rais wa ‘klabu’ ya Yanga Eng. Hers Said amekutana na Waziri wa Michezo Rwanda Aurore Mimosa Munyangaju kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame.Ambapo En...
Baada ya kionjo cha wimbo kati ya Diamond na Chidi Beenz kusikika siku chache zilizopita, imeonekana wadau wengi wa muziki walikuwa na hamu ya kusikia tena sauti ya Chidi ...
Aliyekuwa msemaji wa ‘klabu’ ya Yanga Hassan Bumbuli aamishia majeshi Bank ya NMB akiwa kama Relationship Manager- sports and game.
Bumbuli tayari amefanya mabadil...