Ujerumani yahalalisha uvutaji wa bangi

Ujerumani yahalalisha uvutaji wa bangi

Siku ya jana, Ijumaa Februari 23, Bunge la Ujerumani liliidhinisha sheria ya kuhalalisha uvutaji wa bangi, ambapo imeruhusu kumiliki kilo 25 katika maeneo ya Umma na kilo 50 nyumbani.

Ruhusa hiyo ya uvutaji wa bangi katika maeneo ya Umma inatarajiwa kuanza Aprili 1, 2024, huku watakaoruhusiwa ni wale walitimiza miaka 18 na kuendelea.

Kwa sheria hiyo, Ujerumani imekuwa nchi ya tisa kuhalalisha bangi, ikifungua fursa mpya za biashara kwa makampuni ya bangi ya Canada na Marekani, ambayo bado yanasubiri kuhalalisha bangi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post