Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Jonathan Caulkins kutoka Chuo Kikuu cha Carnegie Mellon, umebaini kuwa matuminzi ya bangi yameongezeka nchini Marekani yakipiku matuminzi ...
Zaidi ya watu 1000 nchini Ujerumani siku ya Jana wamekusanyika katika maeneo mbalimbali kusherehekea kuhalalishwa kwa matumizi ya bangi nchini humo.
Licha ya ruhusa hiyo watum...
Siku ya jana, Ijumaa Februari 23, Bunge la Ujerumani liliidhinisha sheria ya kuhalalisha uvutaji wa bangi, ambapo imeruhusu kumiliki kilo 25 katika maeneo ya Umma na kilo 50 n...
Naam!! nikukaribishe tena kwenye magazine yetu ya Mwananchi Scoop katika segment yetu pendwa ya Fashion kama kawaida yetu hapa lazima tuangazie urembo na mitindo mbalimbali.
L...
Kundi la kondoo nchini Ugiriki kwenye mji wa Almyros limevamia nyumba ya kuhifadhia mimea na kula bangi zilizokuwa zimehifadhiwa kwa ajili ya matibabu.
Inadaiwa kuwa kon...
Wanafunzi wasiopungua 90 wa shule ya msingi Soshanguve iliyopo South Africa, wamelazwa hospitali baada ya kula ‘keki’ zinazodaiwa kuchanganywa na bangi.Kwa mujibu ...
Polisi nchini India wamewalaumu panya kwa kuharibu karibu kilo 200 (lbs 440) za bangi iliyonaswa kutoka kwa wachuuzi na kuhifadhiwa katika vituo vya polisi.
"Panya ni wanyama ...
Ujerumani imefungua njia ya kuelekea kuhalalisha ununuzi na umiliki wa kiasi kidogo cha bangi kwa ajili ya starehe. Watu wataruhusiwa kununua kiasi kisichozidi "gramu 20 na 30...