Hahahaha! Make hapa kwanza ncheke, wewe tena nanii ukiendelea kuchakaza mabinti wawatu huku kitaani kwenu huku mitandaoni bwana rapper kutoka nchini Nigeria Rema amewashangaza watu baada ya kutoa kauli ya kuwa yeye ni bikra wa kiume na hakuna wa kupingana nae maana hakuna mwenye ushahidi.
Licha ya kuweka wazi kuwa yupo kwenye mahusiano kijana huyo alifinguka kupitia mtandao wake wa kijamii wa twiter na kueleza kuwa “I’m a Virgin, y’all have no proof against this statement’’ Amesema Heisrema
Weeeeeh! Haya mabikra wenzake na Rema haya jitokezeni kwa kudondosha komenti zenu hapo chini au niiwaache kidogo mana sio shida zenu.
Kupanga ni kichagua
Kupanga ni kichagua