Wasanii wamzidia S2kizzy, ataka kuongeza studio nyingine

Wasanii wamzidia S2kizzy, ataka kuongeza studio nyingine

Mtayarishaji wa muziki nchini S2kizzy ametangaza kuongeza studio mbili za kurekodia kutokana na kuelemewa na foleni kubwa ya wasanii wanaohitaji huduma.

"Inabibidi niongeze studio nyingine mbili hizi tatu hazitoshi inabidi ziwe tano foleni ni kubwa sana wasanii,"amechapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram

Studio mpya ya Pluto Republic ilifunguliwa Julai mwaka huu ikiwa na vyumba vya kurekodia aina tofauti tofauti za muziki ambazo amekuwa akizifanya kama Amapiano, Bongofleva, na Trap






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Christina Lucas


Latest Post

Latest Tags