Mtangazaji wa CNN aitwaye #SaraSidner ameweka wazi kuwa anasumbuliwa na saratani ya matiti wakati akiwa live kwenye kipindi cha asubuhi.
#Sara amefichua ugonjwa huo kwa lengo la kuwataka wanawake wengine kufanya vipimo vya afya zao kila mwaka huku akieleza kuwa yupo katika matibabu mwezi wa pili sasa, na ugonjwa wake ukiwa hatua ya tatu.
Tukio hilo limetokea siku ya jana Jumatatu, wakati alipokuwa akiripoti moja kwa moja katika kipindi cha asubuhi cha ‘CNN News Central’.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi
Leave a Reply