Mpiga picha na mwanamitindo wanaoshikiria rekodi ya kupiga picha kina kirefu

Mpiga picha na mwanamitindo wanaoshikiria rekodi ya kupiga picha kina kirefu

Baada ya kuvunja rekodi ya dunia ya kuwa mpiga picha maarufu chini ya maji mwaka 2021, Steven Haining sasa anadaiwa kuipiku rekodi yake ya awali mara tano kwa kupiga picha katika kina kirefu zaidi ambacho ni mita 30 (ft 98).

Kwa mujibu wa Guinness World Records wameeleza kuwa mpiga picha Haining na mwanamitindo, muigizaji Mareesha Kulps kutoka Brantford Ciara Antoski, walipiga picha hizo September 19, katika eneo ambalo kulitokea ajali ya meli ya Niagara II ambapo walitumia dakika 16 kupiga picha na zaidi ya dakika 30 ndani ya maji.



Aidha mwaka 2021 wawili hao na watu wengine walifanikisha zoezi la kipiga picha katika urefu wa mita 6.4 (futi 21).






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post